Jibini

Jibini ni chakula kinachotokana na maziwa.

Jibini
Soko la jibini mjini Gouda (Uholanzi)
Jibini
Kiwanda cha jibini ya Parmigiano (Italia)
Jibini
Aina za jibini huko Basel (Uswisi)

Maziwa ya ng'ombe, kondoo au mbuzi hugandishwa. Hupikwa katika sufuria na dawa asilia kutoka tumbo la ndama ya ng'ombe (kimeng'enya cha renini) humwagwa humo pamoja na chumvi. Maziwa yanaganda mara moja na kumwagwa katika kitambaa ili majimaji yatoke na hatimaye sehemu imara pekee ibaki.

Jibini mbichi inaweza kukandamizwa na kuwa imara zaidi. Baadaye, ilhali ni bado laini, huwekwa katika bakuli na kupokea umbo lake wakati inaendelea kukauka.

Baadaye inakaa na kuiva. Aina mbalimbali za jibini huiva kwa muda tofautitofauti.

Katika nchi za joto ni vigumu zaidi kutengeneza jibini bila mashine na friji, lakini katika nchi nyingi jibini ni sehemu ya utamaduni. Jibini ni chakula bora chenye protini na mafuta sawa na maziwa. Kiuchumi ni muhimu kama njia ya kutunza maziwa kwa miezi mingi.

Nchi kama Uholanzi, Ufaransa, Uswisi na Italia ni maarufu kwa aina nyingi za jibini, kila moja ikiwa na ladha na rangi tofauti.

Jibini Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jibini kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ChakulaMaziwa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Salamu MariaUzaziKatibaAustraliaWema SepetuWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiMzunguIrene PaulUongoziMkwawaUwanja wa Michezo wa Lake TanganyikaMahindiMkoa wa Dar es SalaamPichaMatendo ya MitumeOrodha ya milima mirefu dunianiJumuiya ya Afrika MasharikiNebukadreza IIAli Hassan MwinyiInnocent Lugha BashungwaWilaya ya ChalinzeAlmasiSerikaliHadithi21 AgostiNgw'anamalundiKirobotoDunia Uwanja wa FujoHistoria ya KanisaWizara za Serikali ya TanzaniaIsraelOsama bin LadenTambaziKamusi za KiswahiliMwigizajiNge (kundinyota)Mkoa wa KigomaNembo ya TanzaniaFananiJinaKatekisimu ya Kanisa KatolikiUtawala wa Kijiji - TanzaniaMkanda wa jeshiHekaluSteve MweusiDhahabuMkoa wa TangaRwandaVihisishiMwarobainiNyaraka za PauloMshororoInjili ya MarkoNew YorkWayahudiChumaManiiPalestinaFani (fasihi)Mapambano ya uhuru TanganyikaChristina ShushoVisakaleUpendoMaadiliMautiWakingaWenguIsaiah Oghenevwegba OgedegbeVivumishi vya pekeeLigi Kuu Tanzania BaraVidonda vya tumboMeno ya plastikiSimba S.C.Mkoa wa Geita🡆 More