Uchumi: Eneo la uzalishaji, usambazaji na biashara, pamoja na matumizi ya bidhaa na huduma na mawakala

Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao.

Ni hasa uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa bidhaa pamoja na kutolewa kwa huduma kwa njia mbalimbali.

Uchumi: Eneo la uzalishaji, usambazaji na biashara, pamoja na matumizi ya bidhaa na huduma na mawakala
Uchumi

Uchumi mara nyingi hutazamwa kwenye ngazi za kijiji, eneo, taifa au dunia.

Sayansi ya Uchumi (kwa Kiingereza economics) ni tawi la elimu inayochunguza masharti ya uchumi kufaulu au kushindwa.

Sekta za uchumi

Uchumi wa jadi katika nchi nyingi ulikuwa hasa kilimo cha kujikimu pamoja na biashara ya kubadilishana bidhaa kadhaa zenye thamani kubwa. Kwa mfano, tangu kale migodi ya Zimbabwe ilichimba dhahabu iliyopelekwa baadaye hadi Asia na kando ya Mediteranea.

Katika uchumi wa kisasa mara nyingi sekta tatu hutofautishwa:

  • Sekta ya tatu: biashara au usambazaji wa bidhaa hizi kwa wateja pamoja na kuwatolea huduma. Mifano ni maduka yanayouza bidhaa zilizotengenezwa viwandani. Mingine ni huduma kama benki, hoteli, sinema na usafiri.

Viungo vya Nje


Uchumi: Eneo la uzalishaji, usambazaji na biashara, pamoja na matumizi ya bidhaa na huduma na mawakala  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uchumi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BidhaaBinadamuHudumaUsambazajiUzalishaji

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KiimboWakingaYouTubeWhatsAppDiamond PlatnumzNamba za simu TanzaniaMawasilianoUchumiSkeliJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaMusaVita Kuu ya Pili ya DuniaVidonda vya tumboMillard AyoSanaaEverest (mlima)Chanika (Ilala)Dodoma MakuluWajitaTamathali za semiWilaya ya KigamboniKiboko (mnyama)Nembo ya TanzaniaSarufiMofimuOrodha ya mito nchini TanzaniaUaMunguPesaFonolojiaFacebookFonimuWadatogaMtakatifu PauloPichaBarack ObamaKaaAina za udongoUlumbiOksijeniMalariaUshairiKifua kikuuUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020Ali KibaNangaSaidi NtibazonkizaUzazi wa mpangoWilaya ya IlalaUwanja wa Taifa (Tanzania)UpendoMtakatifu MarkoPhilip Isdor MpangoMickey MouseWilaya ya Unguja Magharibi AMkonoSimba (kundinyota)Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoHadithi za Mtume MuhammadAnwaniMpira wa miguuMkoa wa MaraHistoria ya Kanisa KatolikiBarua pepeMweziUbongoKilimanjaro (volkeno)Kalenda ya KiislamuUingerezaNairobiMamba (mnyama)Nishati ya mwangaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)VihisishiNomino za jumla🡆 More