Nomino Za Jumla

Nomino za jumla (pia: Nomino za makundi) ni maneno yanayotaja majina ya watu na vitu ambavyo vinapatikana katika makundi.

Mifano

Watu au vitu hivyo hutajwa kwa jina moja tu la jumla ambalo linawakilisha kundi lote. Ijapokuwa watu au vitu hivyo vinaweza kutenganishwa katika kitu kimoja na kikatajwa kwa jina lake la pekee.

    Mifano
  • Ngizi zikifungwa pamoja huitwaje
  • Kwaya ya mtakatifu Thomas imeshinda tuzo
  • Bunge la Afrika ya Mashariki limeanza vikao vyake rasmi
  • Jumuia ya Madola kazini
  • Familia yangu imesafiri
  • Bendi ya Twanga Pepeta inatumbuiza

Tazama pia

Nomino Za Jumla  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nomino za jumla kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

JinaKituKundiNenoWatu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Namba za simu TanzaniaNdege (mnyama)KoloniTetekuwangaMajira ya baridiKipandausoVivumishiWanyaturuMgawanyo wa AfrikaWamasaiMarekaniUkooMahindiMaumivu ya kiunoUrusiSayariMbwaUenezi wa KiswahiliMkanda wa jeshiMofolojiaKondomu ya kikeLughaNikki wa PiliViwakilishiKomaDaudi (Biblia)Kilimanjaro (volkeno)UnyevuangaMwakaMfumo wa upumuajiUhifadhi wa fasihi simuliziMkoa wa NjombeOsama bin LadenUhakiki wa fasihi simuliziUtoaji mimbaHafidh AmeirWawanjiHistoria ya WapareTasifidaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaShairiWachaggaFacebookNishatiYoung Africans S.C.KonsonantiKiini cha atomuMichael JacksonFalsafaSiasaUzazi wa mpangoNetiboliKipindupinduVitenzi vishirikishi vikamilifuKisimaOrodha ya mito nchini TanzaniaMafumbo (semi)Mauaji ya kimbari ya RwandaSimu za mikononiSteve MweusiWanyama wa nyumbaniMtoto wa jichoUainishaji wa kisayansiOrodha ya viongoziWanyamaporiLakabuNguzo tano za UislamuTafsidaJotoUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaHifadhi ya mazingiraWilaya za Tanzania🡆 More