Duka

Duka ni mahali ambapo watu wanaweza kwenda kununua vitu wanavyovihitaji au wanavyotaka.

Kuna vitu vingi ambavyo watu duniani wanaweza kununua dukani. Wanaweza kwenda dukani kununua chakula, nguo, samani, vitabu na vitu vingine vingi.

Duka
Watu wakiwa dukani wakinunua mahitaji yao.

Watu wanaweza pia kwenda kwenye duka la kutengeneza vifaa vilivyoharibika, na wanataka watengenezewe vifaa vyao. Kwa mfano, mtu anaweza kuleta baiskeli iliyoharibika kwenye duka la kutengeneza baiskeli.

Maduka makubwa yanaitwa pia supamaketi.

Maduka yanaweza yakawa makubwa na hata hivyo faida yake ikawa ndogo.

Tanbihi

Duka  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Duka kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ChakulaDunianiNguoSamaniVitabuVituWatu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Viwakilishi vya pekeeNambaTabianchiKisukuruBinadamuMperaKata za Mkoa wa MorogoroVihisishiMajiHuduma ya kwanzaUpendoSaidi NtibazonkizaMwanza (mji)Stadi za maishaUbadilishaji msimboLafudhiDiamond PlatnumzKiarabuShukuru KawambwaVivumishi vya pekeeWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiMaji kujaa na kupwaKitenzi kikuuUtalii nchini KenyaTamathali za semiZiwa ViktoriaRamaniAunt EzekielMilaKiboko (mnyama)Nyati wa AfrikaSimba (kundinyota)Muundo wa inshaUhakiki wa fasihi simuliziKipindupinduTamthiliaJamiiUnyenyekevuUfugajiMasafa ya mawimbiFasihi simuliziWahaMadhara ya kuvuta sigaraHisiaWajitaApril JacksonClatous ChamaDaudi (Biblia)NandyOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMarekaniLongitudoKamusi za KiswahiliMbossoAfrika ya MasharikiMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaBibliaGongolambotoJamhuri ya Watu wa ChinaShikamooMaghaniOrodha ya makabila ya KenyaFalsafaMaudhuiKukiFonolojiaDiglosiaBurundiTanganyikaBikiraDiniAli Kiba🡆 More