Ramani

Ramani ni picha - kwa kawaida mchoro - ya dunia au sehemu au sifa zake.

Ramani
Ramani ya dunia ya mwaka 1662
Ramani
Ramani yaonyesha kilele cha mlima Kilimanjaro na mistari ya kimo
Ramani
Ramani ya muundo wa usafiri wa reli ndani ya mji wa London, Uingereza

Ni tofauti na picha iliyopigwa kwa kamera kutoka ndege au chombo cha angani kwa sababu mchora ramani anachagua anachotaka kuonyesha na kuzipa uzito sifa anazotaka kuziwekea mkazo.

Kuna aina nyingi za ramani:

  • ramani za topografia huonyesha sura ya nchi (kwa mfano: bahari, nchi kavu, milima, mito, kimo cha ardhi na kina cha bahari)
  • ramani za idadi huonyesha sifa fulani kuhusiana na dunia (kwa mfano: historia, uchumi, mtawanyiko wa wakazi katika nchi n.k.)
  • ramani inaweza kufuata sura ya nchi
  • ramani inaweza kufuata mahitaji ya msomaji (ramani ya njia ya reli huonyesha mstari tu na mfuatano wa vituo bila kutaja kona na mabadiliko ya mwelekeo)

Kila mchoraramani anahitaji kuchagua jinsi ya kuonyesha mambo yake. Kwa ramani za kijiografia tatizo hutokana na umbo la dunia ambalo ni tufe wakati ramani kwa kawaida ni karatasi bapa.

Viungo vya nje

Ramani 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Ramani  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

DuniaMchoroPicha

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

RupiaKisimaUnyagoWahadzabeUhakiki wa fasihi simuliziOrodha ya Watakatifu WakristoMeliKipindupinduMkuu wa wilayaIfakaraOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaUkwapi na utaoLafudhiBruneiSabatoViwakilishi vya kumilikiNamba za simu TanzaniaRejistaBungeKumaVivumishi vya kuoneshaUkristo barani AfrikaJamhuri ya Watu wa ZanzibarMkoa wa KageraUkristo nchini TanzaniaRiwayaBaraVita ya Maji MajiKoloniMwanaumeAnwaniHistoria ya KanisaC++FasihiUbungoWilaya za TanzaniaWanyama wa nyumbaniUpepoKalenda ya KiislamuNgw'anamalundiFisiMahakama ya TanzaniaMzeituniPalestinaBiasharaNgiriMagonjwa ya machoAlizetiMaambukizi nyemeleziZuchuShahawaUfahamuASikukuu za KenyaNominoMasharikiMvuaPesaKitenzi kikuuWajitaMkoa wa TaboraNyaniBiolojiaMpira wa miguuMisemoPumuUzazi wa mpango kwa njia asiliaMkoa wa ArushaVivumishi vya -a unganifuRayvannyKihusishiNg'ombeUaMkoa wa TangaJumuiya ya MadolaDini asilia za Kiafrika🡆 More