London: Mji mkuu wa Uingereza na wa Ufalme wa Muungano

London ni mji mkuu wa Uingereza na mji mkubwa wa nchi hii wenye wakazi milioni 7.5.

Kwenye rundiko la mji idadi ya watu ni karibu milioni 14.

London: Mji mkuu wa Uingereza na wa Ufalme wa Muungano
Sehemu ya Jimbo wa London


London
London is located in Uingereza
London
London

Mahali pa mji wa London katika Uingereza

Majiranukta: 51°30′28″N 00°07′41″W / 51.50778°N 0.12806°W / 51.50778; -0.12806
Nchi Ufalme wa Muungano
Idadi ya wakazi (2007)
 - Wakazi kwa ujumla 7,556,900
Tovuti:  http://www.london.gov.uk/

London ni mahali muhimu kwa biashara na benki kimataifa. Jiji la London ndilo linalopokea watalii wengi zaidi ulimwenguni. Uwanja wa ndege wa Heathrow unapokea wasafiri wengi zaidi kushinda mahali popote duniani.

London ina watu wa kutoka tamaduni mbalimbali, dini tofautitofauti, na zaidi ya lugha 300 huzungumzwa jijini London.

Mji umepambwa na majengo mazuri kama makumbusho, makanisa na majumba yanayovuta watalii wengi kila mwaka.

Marejeo

Viungo vya nje

London: Mji mkuu wa Uingereza na wa Ufalme wa Muungano  Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu London kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

IdadiMilioniMji mkuuUingereza (nchi)

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UbongoNdiziFamiliaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaNimoniaClatous ChamaMtotoTungo sentensiJamiiMkataba wa Helgoland-ZanzibarMange KimambiUchumiAzimio la ArushaTendiAli Hassan MwinyiLughaUzazi wa mpango kwa njia asiliaKitomeoDoto Mashaka BitekoVita Kuu ya Pili ya DuniaAgano JipyaAfrika Mashariki 1800-1845MwanamkeRaiaAYesuKiraiKilatiniAfrikaKito (madini)Mfumo wa mzunguko wa damuKidoleUwanja wa Taifa (Tanzania)Ee Mungu Nguvu YetuKataViwakilishiJumuiya ya MadolaMakabila ya IsraeliTetekuwangaZuchuHektariHistoria ya IsraelHurafaUandishi wa ripotiTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaTendo la ndoaKitenzi kikuuKarafuuMaajabu ya duniaViunganishiMwenge wa UhuruNguruwe-kayaAmfibiaMimba kuharibikaUhakikiFonolojiaDodoma (mji)NzigeMtakatifu PauloMfumo wa homoniNyumbaUkristoMungu ibariki AfrikaFasihi andishiVitenzi vishiriki vipungufuSomo la UchumiKiwakilishi nafsiMmeng'enyoMkoa wa MbeyaWarakaMkoa wa DodomaMkoa wa SingidaRayvannyAlama ya uakifishajiMadini🡆 More