Misemo: Maana za misemo

Misemo ni kauli fupifupi zinazotumiwa na jamii ili kusisitiza ukweli wa jambo fulani.

Ni mafungu ya maneno ambayo hutumiwa na jamii fulani kwa lengo la kutoa msisitizo wa maadili fulani.

Misemo huunganisha dhana au mawazo mawili kuwa moja.

Mifano:

  • Elimu ni ufunguo wa maisha
  • Mtu ni afya
  • Heshima ya mtu ni utu
  • Mtu kwao
  • Maji ni uhai'
  • Hasara roho pesa makaratasi
  • Kikubwa uhai
  • Hujafa hujaumbika
  • Masikini hana hoja
  • Samaki anayefunga mdomo wake hashikwi na ndoano ya mvuvi
  • Daima dawama
  • udi na budi

Msemo unapokuwepo katika jamii kwa muda halafu ukatoweka basi unaitwa "msimu".

Tazama pia

Misemo: Maana za misemo  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Misemo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

JamiiMaadiliNenoUkweli

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UfupishoMkanda wa jeshiHektariMkoa wa MbeyaAsili ya KiswahiliAsiliMazoezi ya mwiliZodiakiDagaaUandishi wa barua ya simuTamthiliaMavaziArusha (mji)MorokoAgostino wa HippoSiasaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaRamaniNetiboliHurafaKamusi ya Kiswahili - KiingerezaMaskiniMaadiliNafsiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuTabianchiUrusiWimboPundaGhanaMkoa wa DodomaKidoleElibariki Emmanuel KinguHifadhi ya NgorongoroWilaya ya MboziItifakiRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniRuge MutahabaMkoa wa ShinyangaReptiliaTamathali za semiMpira wa miguuMuunganoUtohoziAzimio la ArushaDiniSilabiNgonjeraKumamoto, KumamotoMr. BlueHistoria ya TanzaniaVivumishi vya kuoneshaSarufiPaka (maana)Ziwa ViktoriaKilwa KisiwaniSaidi NtibazonkizaDoto Mashaka BitekoMashariki ya KatiOrodha ya volkeno nchini TanzaniaHaki za wanyamaAmfibiaThamaniMkoa wa SingidaMwanamkeKassim MajaliwaNembo ya TanzaniaChelseaYouTubeMkoa wa SongweAnwaniMaishaGazetiMichezo ya watoto🡆 More