Upepo

Upepo ni mwendo wa hewa.

Husababishwa na joto la jua. Hewa ikipashwa joto na jua hupanuka huwa nyepesi na kupanda juu. Hivyo inaacha nafasi ambako hewa baridi zaidi inaingia kuchukua nafasi yake.

Upepo
Mchoro wa Pieter Kluyver (18161900) ukionyesha upepo mkali.
Upepo
Alama za upepo usoni mwa maji.

Kwa lugha ya metorolojia kuna mwendo kutoka eneo la shindikizo la juu la hewa kwa eneo lenye shindikizo duni la hewa.

Kuna aina nyingi za upepo. Upepo mkali huitwa dhoruba. Ikizunguka ndani yake ni tufani, na tufani ikianza baharini ni kimbunga.

Nguvu ya upepo ilitumiwa na binadamu tangu karne nyingi kwa njia ya teknolojia mbalimbali kama vile

Tangu karne ya 20 nguvu ya upepo imetumiwa pia kutengeneza umeme. Katika karne ya 21 umeme wa upepo umeanza kuwa chanzo muhimu wa nishati.

Upepo Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Upepo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

HewaJotoJua

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ugonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaMbogaHistoria ya ZanzibarShetaniMkwawaMkoa wa MaraLigi Kuu Tanzania BaraUchaguziInsha ya wasifuJose ChameleoneUandishi wa barua ya simuSamia Suluhu HassanNomino za jumlaMamba (mnyama)Yanga PrincessMahakamaYouTubeUsafi wa mazingiraMadhara ya kuvuta sigaraOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoUNICEFMsitu wa AmazonShahawaNenoKiunguliaVivumishi vya -a unganifuClatous ChamaWajitaMuundo wa inshaMapenziKonsonantiMisimu (lugha)UlimwenguMwanaumeHaki za binadamuLafudhiDubaiMkoa wa KataviNusuirabuUenezi wa KiswahiliKiolwa cha anganiVipera vya semiKitenziLahajaWilaya za TanzaniaMiundombinuMfuko wa Mawasiliano kwa WoteLugha ya taifaViunganishiUzazi wa mpangoMofimuMaishaAli KibaOrodha ya Marais wa KenyaRushwaMauaji ya kimbari ya RwandaKimeng'enyaMishipa ya damuMethaliMbaraka MwinsheheRisalaAgano JipyaKipazasautiDiglosiaBunge la TanzaniaSanaaVirusi vya UKIMWIMange KimambiAli Hassan MwinyiNomino za pekeeNguruwe-kayaKamusi ya Kiswahili sanifu🡆 More