Uchaguzi ni mchakato wa kumteua mtu kwa nafasi maalumu katika jamii, hasa cheo na majukumu yanayotokana nacho.
Uchaguzi hufanyika kwa nafasi za uongozi au nafasi za mamlaka fulani. Uchaguzi hutokea mara nyingi kwa njia ya kupiga kura kwa wenye haki ya kura.
Katika chama, jumuiya binafsi au klabu ni wanachama wanaopigia kura kamati ya uongozi, mwenyekiti na maafisa wengine.
Katika shirika za hisa ni wenye hisa wanaopigia kura uongozi.
Katika dola ni raia au wawakilishi wao wanaochagua. Hapa kuna mbinu tofauti kufuatana na katiba ya nchi.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Uchaguzi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.