Hafidh Ameir ni mume wa rais wa sita wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na asili ya visiwani Zanzibar.
Hafidh ni mtaalamu mstaafu wa masuala ya kilimo na walifunga ndoa na Mama Samia mwaka 1978 na wamejaaliwa kupata watoto wanne ; mmojawao, Wanu Hafidh Ameir, ni mwanasiasa kama mama yake na mjumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hafidh Ameir kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Hafidh Ameir, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.