Mkoa Wa Manyara

Mkoa wa Manyara ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania wenye postikodi namba 27000.

Umepakana na mikoa ya Arusha na Kilimanjaro upande wa kaskazini, Mkoa wa Tanga upande wa mashariki, Mkoa wa Dodoma upande wa kusini na mikoa ya Singida na Shinyanga upande wa magharibi.

Mkoa Wa Manyara
Mkoa wa Manyara katika Tanzania
Mkoa Wa Manyara
Wilaya za Mkoa wa Manyara

Mkoa wa Manyara umetengwa na Mkoa wa Arusha mwaka 2002 kwa azimio la rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiwa na eneo la km² 46,359.

Babati ndiyo makao makuu ya mkoa.

Wakazi

Jumla ya wakazi mkoani ilikuwa 1,892,502 katika sensa ya mwaka 2022 .

Idadi hiyo imepatikana katika wilaya 7 zifuatazo (katika mabano idadi ya wakazi mwaka 2022): Babati Vijijini (375,200), Babati Mjini (129,572), Hanang (367,391), Mbulu Vijijini (238,272), Mbulu Mjini (138.593), Simanjiro (291,169) na Kiteto (352,305).

Sensa zinaonyesha kwamba ni kati ya mikoa ya Tanzania yenye ongezeko kubwa la wakazi. Pia ni kati ya mikoa yenye maambukizi machache zaidi ya Ukimwi.

Wenyeji wa mkoa huu ni pamoja na Wairaqw, Wamasai, Wambugwe, Wagorowa na Wabarbaig wakijihusisha na shughuli za kilimo na ufugaji kama njia ya kuingiza kipato chao cha kila siku.

Majimbo ya bunge

Wakati wa uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 mkoa huu ulikuwa na majimbo ya uchaguzi 7 yafuatayo:

  • Babati Mjini:mbunge ni Pauline Gekuli(CCM)
  • Babati Vijijini:mbunge ni Jitu Vrajilal Soni(CCM)
  • Hanang’:mbunge ni Samwel Hhayuma(CCM)
  • Kiteto:mbunge ni Emmanuel Papiani(CCM)
  • Mbulu Mjini:mbunge ni Zacharia Paulo Issaay(CCM)
  • Mbulu Vijijini:mbunge ni Flatei Massay(CCM)
  • Simanjiro:mbunge ni James Kinyasi Ole Millya(CCM)

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje


Mkoa Wa Manyara  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Manyara bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Manyara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

Mkoa Wa Manyara WakaziMkoa Wa Manyara Majimbo ya bungeMkoa Wa Manyara Tazama piaMkoa Wa Manyara TanbihiMkoa Wa Manyara Viungo vya njeMkoa Wa ManyaraKaskaziniKusiniMagharibiMasharikiMikoaMikoa ya TanzaniaMkoa wa ArushaMkoa wa DodomaMkoa wa KilimanjaroMkoa wa ShinyangaMkoa wa SingidaMkoa wa TangaNambaPostikodiTanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NuktambiliMkoa wa SingidaKhadija KopaCristiano RonaldoHaki za watotoPijiniMkoa wa RukwaPentekosteVivumishi vya urejeshiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)JamiiNyukiNamba tasaKinembe (anatomia)Java (lugha ya programu)Hifadhi ya mazingiraOrodha ya milima mirefu dunianiStephane Aziz KiUsafi wa mazingiraWamasaiGeorDavieMkoa wa RuvumaSoko la watumwaNdege (mnyama)Mwenge wa UhuruMafurikoDubai (mji)Mkopo (fedha)ImaniFasihi andishiMapinduzi ya ZanzibarMunguSamakiYoung Africans S.C.UlumbiMartha MwaipajaDawatiMwakaKihusishiBarua rasmiVita Kuu ya Pili ya DuniaTungo sentensiViwakilishiViwakilishi vya kuoneshaKupatwa kwa JuaSayariMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiKoroshoVihisishiWakingaWanyaturuPalestinaMkoa wa SongweWhatsAppMsamiatiMkwawaSah'lomonUmaskiniFisiNyaniKukuMaudhui katika kazi ya kifasihiOrodha ya mito nchini TanzaniaOrodha ya kampuni za TanzaniaMsituUsawa (hisabati)Bunge la TanzaniaRamaniEthiopiaIsimu🡆 More