Mwenge Wa Uhuru

Mwenge wa uhuru (kwa Kiingereza Uhuru Torch) ni mojawapo ya alama za kitaifa za Tanzania .

Mwenge Wa Uhuru
mwenge wa uhuru katika stempu ya barua ya shilingi 20

Ina muundo wa tochi ya mafuta ya taa ambayo inaashiria uhuru na mwanga. Mwenge wa uhuru ulinyanyuliwa katika kilele cha Mlima Kilimanjaro mnamo Desemba 9, 1961 na shujaa Brigedia Alexander Nyirenda ikiashiria kuangaza nchi na kuvuka mipaka kuleta matumaini palipo kukata tamaa, upendo palipo uadui na heshima palipo chuki. Sababu ya huyu brigedia kunyanyua mwenge huu ni kuonesha fahari ya nchi na pia kuleta matumaini kwa Watanzania wote kwa kutokata tamaa, kupendana, kuheshimiana na kutogombana ikimaanisha kuwa na ushirikiano.

Mbio za Mwenge wa Uhuru hufanyika kila mwaka kuanzia maeneo mbalimbali nchini.

Tazama pia

Marejeo

Tags:

Tanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Wilaya za TanzaniaKhadija KopaNimoniaIniChakulaMkoa wa MaraAdolf HitlerOrodha ya milima ya TanzaniaSanaa za maoneshoBahashaKitenzi kikuuMaana ya maishaUbongoUbungoMivighaNetiboliSanaaMkoa wa KataviMbezi (Ubungo)Historia ya ZanzibarMkoa wa MorogoroBloguUNICEFNathariLakabuPichaOrodha ya Marais wa MarekaniTreniMwanaumeLiverpoolRita wa CasciaWilaya ya KinondoniRupiaMunguHifadhi ya SerengetiShambaUjimaKonyagiOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaVipera vya semiMoscowMsokoto wa watoto wachangaJacob StephenKukiVielezi vya mahaliMkoa wa ArushaVichekeshoFamiliaUfahamuSitiariMatiniMizimuNdege (mnyama)Papa (samaki)April JacksonMaumivu ya kiunoJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaJokofuMshororoAnwaniIsraeli ya KaleNg'ombeMaadiliAthari za muda mrefu za pombeRedioNomino za kawaidaSomo la UchumiVivumishiMariooNamba🡆 More