Treni (kutoka Kiingereza train; huitwa pia gari la moshi au garimoshi) ni chombo cha usafiri kwenye reli za garimoshi.
Pia anaendesha hili jombo anaitwa nahodha.
Treni inamaanisha jumla ya mabehewa inayovutwa au kusukumwa na injinitreni kwenye njia ya reli. Mfumo wa usafiri kwa treni huitwa kwa kifupi reli.
Mabehewa haya yanaweza kubeba watu au mizigo, hivyo kuna tofauti kati ya treni ya abiria na treni ya mizigo.
Mahali ambako treni inasimama na kupokea abiria au mizigo huitwa kituo cha reli.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Treni, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.