Nathari ni tawi mojawapo la fasihi andishi.
Tofauti na tenzi au ushairi unaoleta ujumbe wake kwa umbo la mabeti, nathari haina umbo maalumu au viwango vya muundo au taratibu. Hivyo inaweza kufanana na mazungumzo ya kila siku.
Nathari inafaa kwa habari na masimulizi. Kwa mfano inatumiwa kwenye magazeti, vitabu, jarida au kamusi.
Ni tungo za kisanii za kubuni ambazo hutumia lugha ya kimaelezo mfululizo na kiinsha/mjazo kupasha ujumbe wa kuelimisha, kuburudisha.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Nathari kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Nathari, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.