Dubai

Dubai (kwa Kiarabu: دبيّ) ni ufalme katika Shirikisho la Falme za Kiarabu kwenye rasi ya Uarabuni na pia jina la mji mkuu wa ufalme huo.

Amiri wa Dubai, ambaye ni pia Makamu wa Rais wa shirikisho, ni Mohammed bin Rashid Al Maktoum.

Dubai ni ufalme mkubwa wa pili katika shirikisho hilo baada ya Abu Dhabi.

Iko kwenye mwambao wa Ghuba ya Uajemi kati ya Sharjah na Abu Dhabi.

Mji wa pili ni Hatta mpakani kwa Oman.

Jiji la Dubai lilikuwa mji mdogo wenye wakazi 20,000 tu hadi vita kuu ya pili ya dunia. Leo hii kuna wakazi zaidi ya 1,200,000. Nyumba zote za Dubai ni mpya.

Kukua kwa Dubai kulianzishwa kutokana na mapato ya mafuta ya petroli. Lakini akiba za mafuta hayo si kubwa kama kwa majirani yake. Mapato ya mafuta ni 6% pekee za pato la taifa.

Viongozi wa Dubai wamefaulu kuweka msingi mpya wa uchumi katika biashara na utalii.

Tazama pia

Viungo vya nje

Tags:

Falme za KiarabuJinaKiarabuMji mkuuRasi ya UarabuniShirikishoUfalme

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Wabena (Tanzania)Mpira wa miguuNyangumiHuduma ya ujumbe mfupiHistoria ya WapareIsraelWanyamweziUyahudiAustraliaViwakilishi vya kumilikiMapambano kati ya Israeli na PalestinaMadhehebuDini asilia za KiafrikaKigoma-UjijiOrodha ya Marais wa MarekaniAntibiotikiOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaNyimbo za jadiMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiMadhara ya kuvuta sigaraAfrika KusiniMkoa wa ManyaraMmeaKibu DenisAnthropolojiaChristina ShushoUturukiBawasiriSteven KanumbaFalme za KiarabuDesturiSaidi NtibazonkizaUjuziKampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya MasharikiOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaVita vya KageraNyegereKata (maana)JuxWazaramoTafsiriNgonjeraMweziLady Jay DeeMkoa wa SingidaUlumbiMbuga za Taifa la TanzaniaRaiaUlemavuUandishiMaji kujaa na kupwaBurundiVichekeshoMshale (kundinyota)Viwakilishi vya idadiKitomeoUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaLughaUtafitiUkooKassim MajaliwaNusuirabuMaigizoUkimwiMfumo wa upumuajiRedioWanyakyusaHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoNyumbaAsili ya KiswahiliShangaziHaki za wanyamaKuku🡆 More