Jamii ni istilahi inayoelezea uwepo wa pamoja wa mwanadamu (kwa pamoja, inataja jumla ya mitandao ya kijamii na nguvu ya mitandao yake).
Haitaji kila kitu ambacho mtu anafikiria kuwa nacho au hana, bali yale ya mambo ambayo kila mtu anayetenda kwa dhumuni maalumu.
Jamii ni watu wanaokaa pamoja na kushirikiana kwa mambo mbalimbali, kwa mfano masuala ya afya, elimu na ulinzi: mambo hayo yanapowakutanisha watu hujenga kitu kinachoitwa jamii, jamii hujenga umoja na upendo baina ya watu husika.
Jamii bora inahitaji watu wenye upendo: watu wakipendana huweza kuishi na kujenga jamii bora, hivyo ni vyema watu wa sehemu husika wapendane ili waweze kujenga jamii ya namna hiyo.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jamii kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Jamii, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.