Fasihi Andishi

Fasihi andishi ni sanaa itumiayo maandishi kufikisha ujumbe kwa hadhira iliyokusudiwa.

Fasihi Andishi
Mashairi ya Kiingereza.

Fasihi andishi hugawanyika katika matawi mawili: nathari na ushairi.

Pia fasihi andishi ina tanzu nyingi mbalimbali, hasa hadithi fupi, riwaya, tamthiliya, insha, shairi n.k.

Kulingana na mada ya kazi ya kifasihi, inawezekana kutofautisha bunilizi na kazi zinazowakilisha ukweli.

Sifa za fasihi andishi

  • Ni mali ya mtu binafsi
  • Hupitishwa kwa njia ya maandishi
  • Haiwezi kubadilishwa papo kwa papo
  • Hutumia mbinu za lugha na mbinu za sanaa katika uwasilishaji wake
  • Huweza kutunzwa kwa muda mrefu.

Dhima za fasihi andishi

  • Kukuza lugha
  • Kuburudisha
  • Kuelimisha
  • Kuhifadhi kazi ya sanaa katika maandishi.

Marejeo

  • Wamitila, K.W. 2003. Kamusi ya Fasihi: Istilahi na Nadharia, Nairobi: Focus Books.
Fasihi Andishi  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fasihi andishi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

HadhiraMaandishiSanaaUjumbe

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Lugha ya isharaSaidi Salim BakhresaVivumishi ya kuulizaMillard AyoUhakiki wa fasihi simuliziMfumo wa homoniTeknolojiaUharibifu wa mazingiraAli Hassan MwinyiVita Kuu ya Pili ya DuniaUainishaji wa kisayansiSteven KanumbaHuduma ya kwanzaMkoa wa TangaMunguTenziOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoClatous ChamaMnyamaMaji kujaa na kupwaKibodiHerufi za KiarabuWilaya za TanzaniaDolaWilliam RutoNevaVihisishiDesturiMafurikoMorokoInsha za hojaInshaShuleDemokrasiaSan Jose, CaliforniaUajemiUhuru wa TanganyikaMnyoo-matumbo MkubwaUkabailaJakaya KikweteMuundo wa inshaPijiniMobutu Sese SekoDhima ya fasihi katika maishaSimuWanyakyusaStephane Aziz KiLugha rasmiSensaRwandaMwanamkeKonsonantiVivumishi vya jina kwa jinaGhanaChuiMuziki wa hip hopAina za manenoTahajiaZama za ChumaUkristoMatiniWayahudiSintaksiSentensiFani (fasihi)Mapambano kati ya Israeli na PalestinaUjimaMlongeMtotoUendelevuHurafaMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaVirusi vya UKIMWI🡆 More