Kidole Cha Kati Cha Kando

Kidole cha kati cha kando (pia: kidole cha pete) ni kidole cha nne mkononi.

Iko kati ya kidole kikubwa na kidole cha mwisho.

Kidole Cha Kati Cha Kando
Kidole cha kati cha kando au kidole cha pete
Kidole Cha Kati Cha Kando
Majina ya vidole vya mkono:
1 Kidole gumba, 2 Kidole cha shahada,
3 Kidole kirefu, 4 Kidole cha pete, 5 Kidole cha mwisho

Kidole hiki hakina nguvu sana ni hafifu kati ya vidole vingine kwa sababu ya mishipa yake ni michache.

Katika tamaduni za magharibi kinatumiwa kwa ajili ya pete ya ndoa. Wengine hutoa maelezo juu ya imani mbalimbali kama sababu ya desturi hiyo. Labda sababu ya kimsingi ni udhaifu wa kidole hiki: kama ni kidhaifu kati ya vidole hakitumiwi sana kwa kazi kama kidole gumba au kidole cha shahada. Hivyo pete inalindwa zaidi ikiwa kwenye kidole hiki kuliko kwenye kidole kingine.

Kuna lugha kadha ambako kidole hiki huitwa kwa majina kama "kidole cha daktari".

Katika Kirusi, Kifinland na Kituruki kuna imani ya kwamba kidole hiki kina uhusiano na uchawi.


Sehemu za Mkono wa binadamu

Bega * Mkono wa juu * Kisugudi * Kigasha * Kiganja * Kidole gumba * Kidole cha shahada * Kidole cha kati * Kidole cha pete * Kidole cha mwisho

Tags:

KidoleKidole cha mwishoKidole kikubwa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kanga (ndege)Kutoka (Biblia)Young Africans S.C.UturukiNguzo tano za UislamuMtakatifu PauloUwanja wa Taifa (Tanzania)Bendera ya TanzaniaNetiboliAdhuhuriMzunguKaaMwanga wa JuaSaidi NtibazonkizaMfumo wa nevaWairaqwBaraza la mawaziri TanzaniaMisimu (lugha)Zanzibar (Jiji)MofolojiaUongoziNafsiMkoa wa MwanzaMajigamboNyegeMamba (mnyama)AlmasiHifadhi ya mazingiraInshaManchester CityMichoro ya KondoaJoyce Lazaro NdalichakoOrodha ya vitabu vya BibliaUti wa mgongoMaumivu ya kiunoMkoa wa MtwaraUtandawaziMnururishoIrene UwoyaLingua frankaBendera ya ZanzibarSanaaMitume wa YesuMofimuUfugajiOrodha ya nchi kufuatana na wakaziMtandao wa kompyutaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiMapenzi ya jinsia mojaDiplomasiaUainishaji wa kisayansiJinaMaajabu ya duniaZama za MaweKalenda ya KiislamuKidoleMange KimambiKiraiMkoa wa Unguja Mjini MagharibiMbwaDemokrasiaBikiraJumuiya ya Afrika MasharikiMafua ya kawaidaUkristoMweziWaduduOrodha ya visiwa vya TanzaniaNdege (mnyama)🡆 More