Hadithi (kutoka neno la Kiarabu) ni sehemu ya fasihi.
Hasa kuna aina kuu mbili za hadithi:
Hadithi ni tungo za fasihi simulizi zitumiazo lugha ya nadharia.
Kwa maana ya pekee neno hili mara nyingi linataja hadithi za Mtume Muhammad ambazo zinahesabiwa kati ya misingi ya imani ya Uislamu.
Hadithi ina vipera vitano (5)
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Hadithi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Hadithi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.