Philip Isdor Mpango: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Philip Isdor Mpango (amezaliwa katika wilaya ya Buhigwe, Mkoa wa Kigoma, 14 Julai 1957) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM.

Philip Isdor Mpango: Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Philip Mpango

Aliteuliwa kuwa mbunge kwa Uteuzi wa rais John Magufuli kwa miaka 20152020 , halafu akachaguliwa kwa miaka 2020-2025, lakini tarehe 30 Machi 2021 aliteuliwa na kuthibitishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Marejeo

Tags:

14 Julai1957CCMChama cha kisiasaMkoa wa KigomaMtanzaniaMwanasiasaWilaya ya Buhigwe

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Fiston MayeleUtandawaziHarmonizeZabibuNdoa katika UislamuVirusi vya CoronaMafumbo (semi)Vita ya Maji MajiBaraBukayo SakaMziziVivumishi vya urejeshiMuda sanifu wa duniaHekimaTungo sentensiMajira ya baridiMbogaSintaksiHakiUundaji wa manenoKanisa KatolikiUmemeHaki za binadamuSomaliaMakabila ya IsraeliUkimwiUkoloniMmeng'enyoMoyoVivumishi vya sifaKarafuuNuktambiliArusha (mji)Orodha ya Marais wa ZanzibarViwakilishiHali ya hewaKilwa KisiwaniUgonjwa wa kuharaMbossoJiniPemba (kisiwa)FananiOrodha ya visiwa vya TanzaniaPumuNairobiKiini cha atomuNevaMaajabu ya duniaRamaniMazoezi ya mwiliOrodha ya maziwa ya TanzaniaMeja JeneraliMohamed HusseinChristina ShushoKajala MasanjaHoma ya manjanoNgw'anamalundiWimboNembo ya TanzaniaUyahudiKiunzi cha mifupaUgandaTungoHektariViwakilishi vya idadiToharaMkoa wa MorogoroMunguCristiano RonaldoKiarabuNdiziLahaja za KiswahiliKilimanjaro (volkeno)Orodha ya vyama vya siasa Tanzania🡆 More