Vivumishi Vya Sifa

Vivumishi vya sifa ni neno/maneno ambayo hutaja maana ya sifa ya nomino au kiwakilishi cha nomino jinsi kilivyo.

Mifano
  • Ghorofa refu limeporomoka
  • Askari mtiifu kaacha kazi
  • Kijana mwerevu amefaulu
  • Mwenye moyo wa huruma anisaidie
    Mifano
  • Paka mwizi amelala jikoni
  • Ugonjwa hatari umeukumba dunia
  • Gari zuri limegongwa
  • Nyumba kubwa imejengwa bondeni
  • Kijana mpole kasusa kula

Tazama pia

Vivumishi Vya Sifa  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vivumishi vya sifa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kajala MasanjaMkutano wa Berlin wa 1885Mobutu Sese SekoMichael JacksonSintaksiKamusiMashuke (kundinyota)UbepariKenyaKifaaSoga (hadithi)KaaNguvaBilioniHistoria ya UislamuInsha za hojaAina za manenoChuiUyahudiGazetiMhusika (fasihi)ChawaMbeya (mji)UgonjwaRuge MutahabaBarabaraMwarobainiJokate MwegeloVipaji vya Roho MtakatifuLongitudoUtataNeemaAustraliaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaKitenzi kishirikishiShengPijiniMohamed HusseinNdege (mnyama)DhanaMofolojiaMichezo ya watotoJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoFananiTanganyika African National UnionVivumishi vya idadiLughaHifadhi ya Mlima KilimanjaroMsitu wa AmazonTashihisiVivumishi ya kuulizaRisalaHifadhi ya NgorongoroKataDar es SalaamFisiNigeriaOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoHoma ya matumboHurafaChelseaHisiaHadithiViunganishiFasihiIsraelHoma ya mafuaHistoria ya AfrikaLionel MessiRitifaaYoung Africans S.C.UkoloniKiongozi🡆 More