Hektari

Hekta (pia: hektari) ni kipimo cha eneo lenye upana na urefu wa mita mia moja.

Hekta moja ina mita za mraba (=m²) 10,000.

Hektari
Taswira ya Hekta 1 ya ardhi

Kifupi chake ni ha.

Msingi wake ni kipimo cha urefu cha mita (m).

1 ha = 0,01 km² = 100 Ar = 100 m × 100 m = 10.000

1 km² = 1.000 m × 1.000 m
1 ha = 100 m × 100 m
1 a = 10 m × 10 m
1 m² = 1 m × 1 m

100 ha = 1 km²

Hekta ni kipimo kinachotumika hasa kupimia maeneo ya kilimo.

Tags:

Mita za mraba

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kadi ya adhabuMsongolaMachweoWiki FoundationSarufiMkoa wa PwaniWanyaturuBabeliJinsiaMajigamboKiraiUjamaaNyegereAslay Isihaka NassoroUenezi wa KiswahiliMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaKilatiniNominoMichezoMnururishoBilioniMkoa wa RukwaMbuga za Taifa la TanzaniaMshale (kundinyota)MoyoHuduma ya ujumbe mfupiMazoezi ya mwiliRose MhandoUtamaduniUtamaduni wa KitanzaniaBaruaHifadhi ya Mlima KilimanjaroNathariUmoja wa AfrikaAli Hassan MwinyiViwakilishiKinembe (anatomia)Pemba (kisiwa)DagaaUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaMwakaVidonge vya majiraTafsiriKigoma-UjijiMpira wa miguuWakingaMawasilianoSerikaliUshairiMimba za utotoniMkoa wa MaraAbedi Amani KarumeNgoma (muziki)Nomino za kawaidaMizimuAsili ya KiswahiliKataVolkenoNzigeMeta PlatformsAntibiotikiVielezi vya namnaMikoa ya TanzaniaSalaMatumizi ya LughaGazetiMziziUislamuJuxKizunguzunguKitomeoDhamiraAmina ChifupaTahajiaMkoa wa Lindi🡆 More