Orodha ya maziwa ya Tanzania inatolewa pamoja na jina, eneo, nchi husika na tanbihi kama ifuatavyo:
Jina | Picha | Eneo | Nchi | Tanbihi |
---|---|---|---|---|
Ziwa Viktoria | km2 68 800 (sq mi 26 600) | Tanzania Kenya Uganda | ||
Ziwa Tanganyika | km2 32 900 (sq mi 12 700) | Tanzania Democratic Republic of the Congo Burundi Zambia | ||
Ziwa Nyasa | km2 29 600 (sq mi 11 400) | Tanzania Malawi Mozambique | ||
Ziwa Rukwa | ~ km2 5 760 (sq mi 2 220) | Tanzania | ||
Ziwa Eyasi | km2 1 050 (sq mi 410) | Tanzania | ||
Ziwa Natron | km2 1 040 (sq mi 400) | Tanzania | ||
Ziwa Manyara | km2 230.5 (sq mi 89.0) | Tanzania | ||
Ziwa Burigi | km2 70 (sq mi 27) | Tanzania | ||
Ziwa Balangida | km2 33 (sq mi 13) | Tanzania | ||
Ziwa Jipe | km2 30 (sq mi 12) | Tanzania Kenya | ||
Ziwa Babati | km2 21 (sq mi 8.1) | Tanzania | ||
Ziwa Ambussel | km2 19 (sq mi 7.3) | Tanzania | ||
Ziwa Chala | km2 4.2 (sq mi 1.6) | Tanzania Kenya |
Mengine ni:
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Orodha ya maziwa ya Tanzania, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.