Kishazi huru (alama yake ni: K/Hr) ni tungo inayotawaliwa na kitenzi kinachojitosheleza kimaana.
Yaani, ni tungo inayotawaliwa na kitenzi kinachotoa taarifa kamili. Kitenzi hicho kinaweza kuwa:
Mfano:
Mfano:
Katika mabano juu kuna TS+(-)+T, yaani, hivi TS = kitenzi kisaidizi, (-) = kipashio cha hiari. Kwanini kiwe cha hiari? Tazama hii: "mama alikuwa anataka kwenda kununua samaki". Neno au kirai "kwenda" si lazima kiwepo ndiyo maana ya hiari. Hata kama ingewekuwa: "mama alikuwa anataka kununua samaki" ingeeleweka tu.
Mfano:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kishazi huru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kishazi huru, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.