Viunganishi

Viunganishi ni neno au kikundi cha maneno chenye kuunganisha vipashio vya lugha ili kuunda kipashio kikubwa zaidi.

Mifano
  • Alifyeka lakini hakulima
  • Habiba aliondoka pamoja na mama yake
  • Wao ni binadamu kama sisi
  • Kiache hicho.
  • Kaka na Dada

Pia ni maneno yanayounganisha maneno mengine. Kiunganishi kinaweza kuunganisha neno na neno, kirai na kirai, kishazi na kishazi, sentensi na sentensi au vinginevyo.

Uchambuzi

    Mifano ya jumla
  • Baba na mama
  • Analima bila kupanda
  • Baba analima na baba anapanda
  • Shoka limeshindwa sembuse panga

Maumbo ya viunganishi

Viunganishi havina maneno ya kupambikwa katika neno au katika kupatanishwa kisarufi ndani ya tungo. Yaani, mfano cheza, chezewa, chezeka, na kadhalika. Hayo ni maumbo ya maneno ambayo hayabadiliki.

    Mfano

Na, lakini, ingawa, bila, au, ila, sembuse, kwa sababu, kwa kuwa, pamoja na, ijapokuwa, tena, iwapo, labda, toka, n.k.

Aina za viunganishi

Kuna aina mbili za viunganishi - navyo ni:

Ama:

  • Viunganishi huru
  • Viunganishi tegemezi

Viunganishi huru ni vile vinavyosimama pekee katika tungo/katikati ya vipashio vinavyoungwa. Kwa mfano: Sisi tunaimba na kucheza.

Viunganishi tegemezi ni vile ambavyo huunda kwa viambishi vya o-rejeshi vinavyowekwa katika kishazi huru kwa pamoja huunda sentensi changamano. Viambishi hivyo ni kama vile: po, ye, lo, cho n.k. Kwa mfano: Mama anayepika ni msusi.

Tazama pia

Viunganishi  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viunganishi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Viunganishi UchambuziViunganishi Aina za viunganishiViunganishi Tazama piaViunganishi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mpira wa mkonoOrodha ya visiwa vya TanzaniaMisemoNchi za visiwaWanyaturuSheriaManchester CityViwakilishiKiboko (mnyama)Akili ya binadamuWaarushaSerikaliOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaTetekuwangaMaarifaWema SepetuMfumo wa homoniTarakilishiUfilipinoUturukiUtumbo mwembambaClatous ChamaNgome ya YesuAgano JipyaJakaya KikweteNdoaUjerumaniNomino za jumlaWayahudiOrodha ya miji ya Afrika KusiniBongo FlavaLugha ya taifaMaambukizi ya njia za mkojoRiwayaUtenzi wa inkishafiVivumishi vya idadiMazoezi ya mwiliTeknolojiaChuo Kikuu cha MuhimbiliNguvaNamba tasaMtume PetroKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniIntanetiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaKiambishi tamatiOrodha ya makabila ya TanzaniaItifakiAthari za muda mrefu za pombeNafsiHistoriaRamaniLigi Kuu Uingereza (EPL)Amina ChifupaTovutiLady Jay DeeNuktambiliCleopa David MsuyaMunguWilaya za TanzaniaShambaDolar ya MarekaniUgonjwa wa kuambukizaUlemavuChristina ShushoMwezi (wakati)LimauSentensiSarataniBunge la TanzaniaUgandaMwongoNathariRwanda🡆 More