Sadaka

Sadaka ni toleo la chochote, kama vile chakula, vitu au wanyama, kwa lengo la juu, hasa la kidini, kwa mfano kumheshimu Mungu na kujiombea fadhili fulani toka kwake.

Sadaka
Marcus Aurelius na wanafamilia wake wakitoa sadaka ya shukrani kwa kushinda Wagermanik: jinsi ilivyochongwa wakati huo katika marumaru, Roma, Italia.

Kafara

Sadaka 
Kafara ya Waazteki ya kumchinja mtu, ilivyochorwa katika Codex Mendoza, karne ya 16, (Bodleian Library, Oxford).

Kama sadaka inaendana na uchinjaji wa binadamu au mnyama inaweza kuitwa kafara.

Aina nyingine za sadaka

  1. Fungu la Kumi
  2. Malimbuko
  3. Nadhiri

Marejeo

  • Davies, Nigel (1981). Human Sacrifice: In History and Today. Dorset Press. ISBN 0-88029-211-3. 
  • Lancaster, John. "In India, case links mysticism, murder", Washington Post, 29 Novemba 2003. 
  • Heinsohn, Gunnar: "The Rise of Blood Sacrifice and Priest Kingship in Mesopotamia: A Cosmic Decree?" Religion, Vol. 22, 1992 [1]
  • Sacrifice (Catholic Encyclopedia)
  • Bataille, Georges (1992). Theory of Religion. Zone Books. ISBN 0-942299-09-4. 
  • Carter, Jeffrey (2003). Understanding Religious Sacrifice. Continuum. ISBN 0-8264-4880-1. 
  • Hubert, Henri; Marcel Mauss (1981). Sacrifice: Its Nature and Function. U of Chicago Press(reprint, orig 1898). ISBN 0-226-35679-5. 

Viungo vya nje

Tanbihi

Tags:

Sadaka KafaraSadaka Aina nyingine za sadakaSadaka MarejeoSadaka Viungo vya njeSadaka TanbihiSadakaMungu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

ZuchuOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaKiambishiWhatsAppTreniRitifaaMishipa ya damuMuundoSiafuKipindi cha PasakaHaitiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaBabaHistoria ya Kanisa KatolikiJuma NatureTundu Antiphas Mughwai LissuLady Jay DeeVivumishi vya kumilikiMkoa wa PwaniMkoa wa MtwaraNdovuMariooKrismaMkoa wa KigomaMpira wa miguuLigi ya Mabingwa AfrikaMamaMichael OlungaNchi za visiwaNyanda za Juu za Kusini TanzaniaUmoja wa MataifaPichaWilaya ya HandeniUNICEFKanisa KatolikiRafikiWamisionari wa AfrikaMahakama ya TanzaniaVitenzi vishiriki vipungufuMnyoo-matumbo MkubwaMziziHafidh AmeirUbongoUongoziProtiniMkoa wa DodomaInjili ya LukaTovutiUti wa mgongoNahauSemiOrodha ya mito nchini TanzaniaHali ya hewaKatekisimu ya Kanisa KatolikiJiniHistoria ya Afrika KusiniMwanamkeMji mkuuTaswira katika fasihiUbuntuUgonjwa wa uti wa mgongoUfaransaVidonda vya tumboMbeguWayahudi26 MachiMohamed HusseinUdongoZodiakiHelaNdotoKadi za mialikoWallah bin WallahMafarisayoMbwa🡆 More