Kihusishi

Kihusishi ni neno ambalo huonyesha uhusiano baina ya kipashio kimoja cha kiisimu na kipashio kingine.

Katika lugha ya Kiswahili maneno yanayoitwa hivyo yapo, lakini msingi wa uainishaji maneno unayaengua kwa vile yanaonekana yakiwa yamefanya kazi nyingine katika tungo.

Kwa vile msingi wa uainishaji ni kazi ya neno husika katika tungo lilimotumiwa, hivyo hatuna maneno yanayofanya kazi ya kuhusisha katika tungo! K.mf. Daftari limewekwa juu ya meza, Naandika kwenye daftari. Kito kilifichwa chini ya kitanda n.k. Maneno haya yaliyokozwa katika tungo hizo ni vihusishi ambavyo vimeshirikiana na majina yaliyojitokeza mwisho mwa kila tungo na kwa pamoja yanajibu swali: "Wapi?" Maneno yote yanayojibu swali "wapi?" katika tungo ni "vielezi vya mahali".

Hii ni sababu mojawapo ya kwamba waandishi waliodai kuna aina nane au tisa za maneno ya lugha ya Kiswahili wameonekana kunakili na kutafsiri sarufi za lugha nyingine, k.v. Kiingereza, na hoja zao kukosa mashiko.

Lugha ya Kiswahili ina aina saba tu za maneno ambazo ni:

  • Nomino (N)
  • Viwakilishi (W)
  • Vivumishi (V)
  • Vitenzi (T,Ts,t)
  • Vielezi (E)
  • Viunganishi (U)
  • Vihisishi (H)
  • Viulizi (z)

Tazama pia

Kihusishi  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihusishi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Isimu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya Marais wa ZanzibarWahayaBarabaraYouTubeHektariJohn MagufuliVivumishi vya kumilikiWabena (Tanzania)ViunganishiUandishi wa inshaSahara ya MagharibiUyakinifuHali ya hewaRushwaFutiFacebookBilioniTiktokUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiAlama ya barabaraniOrodha ya Marais wa MarekaniChakulaMuungano wa Madola ya AfrikaZama za MaweMnyama22 ApriliKifua kikuuUnyanyasaji wa kijinsiaAzimio la ArushaUhifadhi wa fasihi simuliziMsituKisononoWikipediaKadi ya adhabuMbuga wa safariMobutu Sese SekoDiamond PlatnumzKitenziBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiNamba za simu TanzaniaMunguSayariZuchuSakramentiItifakiMatendo ya MitumeUjuziPentekosteUkanda wa GazaMohamed HusseinMimba za utotoniMariooMfumo wa mzunguko wa damuMalebaInjili ya MathayoSerikaliAfyaHoma ya matumboDoto Mashaka BitekoMadhara ya kuvuta sigaraItikadi kaliKalenda ya KiislamuVitenzi vishirikishi vikamilifuKigoma-UjijiKidoleMuundo wa inshaPunyetoUbunifuBomu la nyukliaMwanzoUhindiLongitudoSilabiVivumishi vya urejeshiSitiari🡆 More