Wairaqw

Wairaqw (pia huitwa Wambulu kutokana na jina la mji wa Mbulu) ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika mkoa wa Manyara na mkoa wa Arusha kusini kwa Ngorongoro.

Wairaqw
Mwanamume wa Kiiraqw.
Wairaqw
‎Nyumba ya wakulima Wairaqw huko mkoa wa Manyara mwaka 2012.

Lugha yao ni Kiiraqw, jamii ya lugha za Kikushi za kusini.

Mwaka 2001 walikuwa 462,000 hivi. Idadi hiyo yaweza kuwa imevuka 1,000,000 kwa sasa.

Asili

Kihistoria, ni kati ya Wakushi wa kwanza kuhamia eneo la Tanzania ya sasa, ambapo walichanganyikana na Wadatoga na Wabantu, inavyoonekana katika utafiti juu ya DNA. Walitokea Ethiopia katika milenia ya 3 KK na kuelekea kusini kupitia bonde la Ufa.

Nadharia nyingine zinapendekeza kuwa walitokea Mesopotamia ya kale. Hata hivyo hakuna uhusiano dhahiri na nchi ya Irak (au Iraq) iliyopo katika Asia ya Magharibi, isipokuwa jina la kufanana.

Tanbihi

Wairaqw  Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wairaqw kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

JinaKabilaKusiniMbuluMjiMkoa wa ArushaMkoa wa ManyaraNgorongoroTanzaniaWatu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NafsiUtohoziKanuni ya Imani ya MitumeVivumishi vya pekeeMkoa wa RuvumaMapenzi ya jinsia mojaUchapajiMethaliHistoria ya UturukiTungo kiraiInsha ya wasifuBabeliUhifadhi wa fasihi simuliziMishipa ya damuOrodha ya milima mirefu dunianiKitenzi kikuuBikira MariaBarua pepeOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaWayao (Tanzania)Lingua frankaNathariMkutano wa Berlin wa 1885NdovuKishazi tegemeziMnyamaTungo sentensiWairaqwLigi Kuu Uingereza (EPL)UaUchawiYesuPaul MakondaNyotaAbakuriaHistoria ya WokovuKinjikitile NgwaleUnyevuangaUundaji wa manenoTafsidaMziziIrene UwoyaNdoto ya AmerikaVivumishi vya kuoneshaVivumishi vya idadiUhakiki wa fasihi simuliziVokaliNguzo tano za UislamuReal MadridKisononoSarufiWangoniHistoria ya ZanzibarUrusiAzimio la Kimataifa juu ya Haki za BinadamuMwanga wa JuaUkooHaki za watotoMalariaWizara za Serikali ya TanzaniaVita Kuu ya Pili ya DuniaMajigamboMaarifaChakulaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaBurundiNgw'anamalundiAngahewaLigi ya Mabingwa UlayaTabianchiLeopold II wa UbelgijiMakabila ya IsraeliJoto🡆 More