Maktaba ni sehemu au jengo lililo maalum kwa ajili ya kujisomea na kujifunza juu ya vitu mbalimbali.
Kuna aina kadhaa za maktaba ila zote hazina tofauti kwani zina lengo moja: kutoa elimu.
Asilimia kubwa ya maktaba huwa na vitabu vya aina mbalimbali, kwa mfano: vya kiada na ziada.
Pia unaweza kuwa na maktaba yako binafsi na licha ya kuwa na maktaba yako unaweza kwenda shuleni ukaingia maktaba kwani kuna maktaba ya shule.
Pia kuna maktaba ya kijiji, ya wilaya, ya mkoa na hata ya taifa, zote hizi kwa ajili ya elimu.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Maktaba, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.