Masafa Ya Mawimbi

Masafa ya mawimbi (pia urefu wa wimbi, mara chache lukoka; kwa Kiingereza wavelength) ni namna ya kupima na kutaja ukubwa wa wimbi.

Masafa Ya Mawimbi
Picha inaonyesha mawimbi kwenye bahari; alama ya λ inaonyesha umbali kati ya vilele viwili au masafa ya mawimbi. Herufi ya Kigiriki λ Lambda ni alama ya urefu wa wimbi.
Masafa Ya Mawimbi
Lukoka au urefu wa wimbi hupimwa kati ya sehemu zinazolingana ya mawimbi mawili.

Ni umbali kati ya sehemu za kulingana za mawimbi mawili ambayo yanafuatana, kwa mfano kati ya kilele na kilele au mabonde yao.

Mawimbi yapo kila sehemu ya mazingira asilia, kwa mfano:

Masafa ya mawimbi hutofautiana sana. Mawimbi marefu yanayoweza kutambuliwa na milango ya fahamu ya binadamu ni sauti ya besi yenye masafa ya mita 21. Sikio letu linatambua mawimbi yenye masafa kati ya milimita 17 hadi mita 21.

Mawimbi sumakuumeme yana upeo mkubwa.

Masafa ya mawimbi na marudio

Masafa ya mawimbi huwa na uhusiano wa kinyume na marudio ya wimbi. Kama marudio ya wimbi ni ya juu, masafa yake yatakuwa madogo. Vilevile kinyume, kama wimbi lina masafa makubwa, marudio yake ni madogo.

Marejeo

Tovuti za Nje

Masafa Ya Mawimbi 
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

KiingerezaUkubwaWimbi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

FutiOrodha ya nchi kufuatana na wakaziAdhuhuriSintaksiIntanetiKiburiManchester United F.C.NetiboliLigi Kuu Tanzania BaraHistoriaMartin LutherAli KibaViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)UkimwiTabianchi ya TanzaniaNahauNguruwe-kayaHistoria ya UislamuSerikaliMaliasiliBahashaMamba (mnyama)Wilaya ya IlalaMichezo ya watotoViwakilishi vya idadiUaUkristo barani AfrikaUandishi wa ripotiMatumizi ya lugha ya KiswahiliShambaKiambishi awaliJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaHistoria ya WasanguBenki ya DuniaMuhammadOrodha ya Watakatifu wa AfrikaNyongoMungu ibariki AfrikaKilimanjaro (volkeno)Kanisa KatolikiMofimuIsraeli ya KaleInsha ya wasifuNyangumiNembo ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaHistoria ya KiswahiliZama za MaweFalme za KiarabuMisemoKichochoMjasiriamaliMaktabaMilango ya fahamuMoses KulolaVihisishiKinyongaIyungaVivumishi vya -a unganifuHoma ya matumboBiblia ya KikristoUtawala wa Kijiji - TanzaniaTungo kiraiYesuChamaziOksijeniMweziAnwaniIlluminatiUshairiBagamoyo (mji)ZuchuRisalaWikipedia🡆 More