Kiambishi Awali

Kiambishi awali ni kipande cha neno au mofimu tegemezi inayokaa kabla ya mzizi wa neno.

Kwa mfano, neno "anavyolimiwa" mzizi wake ni Lim, na shina hapo ni Lima. Viambishi awali vinavyofanyakazi ni kama ifuatavyo:

  • A = inaonesha kiambishi awali nafsi ya tatu umoja kiwakilishi cha ngeli ya YU-AWA
  • NA = inaonesha kiambishi awali njeo wakati uliopo
  • VYO = Inaonesha kiambishi awali ureshi wa mtenda

  • LIM = Mzizi wa neno

  • IW = Kiambishi tamati (Kauli ya kutendewa)

  • A= Kiambishi kinachodokeza irabu tamati yakinifu

Hiyo ndiyo dhana ya kutambua viambishi awali katika tungo.

Tazama pia

Lango la Lugha

Viungo vya nje

Kiambishi Awali  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiambishi awali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

MofimuMziziNeno

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UtapiamloSarufiKitenzi kikuu kisaidiziNyegeHadhiraMkoa wa LindiMtume PetroFamiliaJokofuUharibifu wa mazingiraUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiBabeliJérémy DokuMachweoHisiaBunge la Afrika MasharikiMahakamaNamba za simu TanzaniaUaUrusiUundaji wa manenoWamasaiKitaluKupatwa kwa MweziLugha ya kwanzaOrodha ya Magavana wa TanganyikaNyotaMajira ya baridiMaudhui katika kazi ya kifasihiNusuirabuMnyamaJogooNamba ya mnyamaMpira wa miguuWahayaZanzibar (Jiji)KibwagizoKhadija KopaSteven KanumbaMbwa-mwitu DhahabuTamthiliaTupac ShakurOrodha ya vitabu vya BibliaMarekaniArudhiBarua pepeViwakilishi vya kumilikiUjerumaniKomaNg'ombeUyahudiNigeriaOlduvai GorgeWaduduMamlaka ya Mapato ya TanzaniaKorea KusiniKamusiLahajaMwanzo (Biblia)Mkoa wa TaboraFonimuKitenzi kishirikishiBata MzingaHekaya za AbunuwasiKutoka (Biblia)Kiambishi tamatiChristina ShushoMajiUsawa (hisabati)Mkoa wa Dar es SalaamHistoria ya Israel🡆 More