Risala

Risala ni taarifa fupi inayosomwa mbele ya kiongozi mgeni rasmi kwa niaba ya kundi fulani la watu ili kutoa maelezo au kuonesha msimamo wa kundi hilo kwa kiongozi.

Ni aina ya taarifa ambayo hupelekwa mtu au watu fulani inayoelezea haja inayotakiwa.

Risala hugawanyika katika sehemu kuu tatu, nazo ni:

  • Mwanzo: Hapa panahusu sana salamu, ukaribisho na lengo la risala.
  • Kati: ndiyo kiini cha risala ambacho huonesha mafanikio, matatizo, mapendekezo na kadhalika.
  • Mwisho: wa risala hueleza msisitizo au shukrani.
Risala Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Risala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Taarifa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Clatous ChamaMtoto wa jichoUtaniMlongeFasihi simuliziAfrika ya Mashariki ya KijerumaniJumuiya ya MadolaHaki za watotoVyombo vya habariMaudhui katika kazi ya kifasihiUmaskiniUkooWagogoUtumbo mpanaMfumo wa homoniMapenzi ya jinsia mojaUmememajiOrodha ya visiwa vya TanzaniaMapenziNdamaDar es SalaamKifupiMaudhuiMohamed HusseinUgonjwa wa kuharaMsokoto wa watoto wachangaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiBinadamuMkoa wa KilimanjaroMjasiriamaliDoto Mashaka BitekoBarua rasmiHomoniMweziMtandao pepe binafsiMilango ya fahamuBenjamin MkapaKilimanjaro (volkeno)Mkoa wa ArushaIniVipera vya semiUgonjwa wa kuambukizaRejistaNevaMwanzoTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaFananiJKT TanzaniaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniMkoa wa KageraUhakiki wa fasihi simuliziVitendawiliKizunguzunguZuchuHisiaMjombaHedhiMkwawaLionel MessiMikoa ya TanzaniaUmmy Ally MwalimuMbossoEdward SokoineOrodha ya Magavana wa TanganyikaVivumishi ya kuulizaNimoniaUhakikiRaiaVita ya Maji MajiAlomofuRadiWazigulaLakabuTrilioniKiboko (mnyama)🡆 More