Ripoti ni maelezo makamilifu yanayotolewa kama taarifa baada ya kufanya utafiti juu ya mtu, kitu au tukio fulani ambalo limetokea, kwa mfano ajali, kifo, mgomo shuleni na kadhalika.
Ripoti huandikwa kwa madhumuni ya kutoa taarifa ili taarifa hiyo iweze kufanyiwa kazi au walau kuhifadhiwa kama kumbukumbu.
Ripoti ya kawaida sharti iwe na sehemu kuu nne; sehemu hizo ni:
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Uandishi wa ripoti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Uandishi wa ripoti, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.