Kisawe

Kisawe ni neno lenye maana ileile ya neno lingine; kwa mfano jogoo kisawe chake ni kikwara, bamia kisawe chake ni binda na mengineyo, kama vile nyanya-bibi, tembo-ndovu, mtu–mja-adinasi-mahuluki-insi-binadamu, rafiki–msena-mwandani-bui, ugonjwa-maradhi.

Katika sentensi kisawe kimoja kinaweza kubadilishwa na kisawe kingine bila kubadilisha maana ya sentensi.

Hayo maneno yaliyo na maana sawa au yanayokaribiana sana kimaana yanaonyesha utajiri wa lugha fulani na huwezesha kuremba sentensi, mazungumzo na maandishi viwe vya uzuri wa kifasihi.

Kisawe Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisawe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BamiaBindaJogooKikwaraNeno

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SarufiMaziwa ya mamaMivighaViwakilishi vya idadiVisakaleDola la RomaKibu DenisWimboMsamiatiMeena AllyNambaHalmashauriPumuOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaMbeziMatumizi ya lugha ya KiswahiliAthari za muda mrefu za pombeIsimilaFasihi andishiMlongeKata za Mkoa wa MorogoroMkoa wa RukwaWilaya ya ArumeruUgonjwa wa kuharaTausiKishazi huruMavaziAmina ChifupaZiwa ViktoriaTabainiJumuiya ya MadolaSintaksiBarabaraOrodha ya milima mirefu dunianiMfupaMjombaTungo kiraiKaaWayahudiTenzi tatu za kaleMkoa wa PwaniOrodha ya milima ya TanzaniaKupatwa kwa JuaMichael JacksonNg'ombeUkongaWilaya ya Unguja Magharibi AGeorDavieUenezi wa KiswahiliArudhiAbedi Amani KarumeJohn Samwel MalecelaMburahatiVita Kuu ya Pili ya DuniaHakiHadhiraNafsiLady Jay DeeDamuUongoziNgw'anamalundiMakabila ya IsraeliTendo la ndoaMethaliHadithiMagonjwa ya kukuWamasaiKassim MajaliwaRitifaaMahakama ya TanzaniaUtamaduniUshairiMbezi (Ubungo)Mkoa wa Dar es Salaam🡆 More