Kinywa

Kinywa au mdomo ni uwazi ndani ya kichwa mwenye shughuli tofauti kwa binadamu na wanyama wengi wenye uti wa mgongo.

  • ni mahali pa kuingiza chakula mwilini hivyo ni chanzo cha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula
  • ni nafasi ya kuingiza hewa mwilini hivyo pamoja na pua ni chanzo cha mfumo wa upumuo
  • ni mahali pa kutokea kwa sauti ambako sauti inayotengenezwa kooni inapokea umbo lake kwa msaada wa ulimi na midomo hivyo ni sehemu muhimu ya uwezo wetu wa kuwasiliana na wengine.
Kinywa
Kielelezo cha kinywa cha binadamu

Kinapatikana kwa karibu wanyama wote wenye seli nyingi lakini kwa wanyama sahili kazi yake ni kuingiza chakula pekee.

Sehemu za kinywa cha binadamu ni pamoja na: meno, ulimi na fizi.

Mdomo wa mto

Neno mdomo hutumika pia kwa sehemu ya mto ambako unaishia kwa kuingia katika bahari, ziwa au, kama ni tawimto, katika mto mkubwa zaidi. Kisawe ni mlango wa mto.

Kinywa  Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kinywa kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KichwaUti wa mgongo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Majeshi ya Ulinzi ya KenyaAina za manenoJinaHekimaUandishiAlomofuUingerezaKiarabuMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniEdward SokoineHistoria ya WapareNusuirabuKisononoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaUnyevuangaDola la RomaNahauRayvannyMbadili jinsiaKishazi huruUgonjwa wa uti wa mgongoArsenal FCOrodha ya majimbo ya MarekaniNuktambiliKamusi ya Kiswahili - KiingerezaMtandao wa kompyutaMungu ibariki AfrikaMgawanyo wa AfrikaArudhiChelsea F.C.MajigamboShetaniJumuiya ya MadolaWazaramoTeknolojiaMbezi (Ubungo)Vidonge vya majiraHadithi za Mtume MuhammadKitenzi kishirikishiChakulaMnururishoKitenziViwakilishi vya sifaStadi za lughaSarufiMbuAzimio la ArushaMaji kujaa na kupwaHakiMkoa wa ManyaraTamthiliaUkristoLahajaWikipediaMisimu (lugha)MizimuAfro-Shirazi PartyMkoa wa TaboraYombo VitukaKina (fasihi)JinsiaIyumbu (Dodoma mjini)Utoaji mimbaJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaLady Jay DeeTaswira katika fasihiMabiboVivumishi vya sifaMila🡆 More