Sarufi

Sarufi ni tawi la isimu au ni elimu ya kupanga maneno kwa ufasaha.

Maelezo hayo yanaweza kutafsiriwa kwa namna mbili tofauti.

Kwanza, yanaweza kutafsiriwa kwa maana ya ufunzaji wa vipashio vidogo vya lugha (sauti-silabi-neno-sentensi), kisha vipengele kama msamiati, utungaji wa sentensi kwa kutumia aina mbalimbali za maneno (nomino, vihisishi, vihusishi, vielezi, viwakilishi, [vivumishi]], vitenzi na kadhalika). Hapa kuna mambo kama methali, hadithi, vitendawili, itikadi na kadhalika. Basi huachiwa mbali.

Tafsiri ya pili ya maelezo haya huchukua yote yafunzwayo katika lugha fulani. Kama maelezo ya awali, sarufi ina vipengele tofautitofauti. Ikiwa pamoja na kufunza maneno magumu, vitenzi, nyakati, matamshi, ngeli, vivumishi, nomino, vielezi na vihisishi.

Sarufi Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sarufi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ElimuIsimuNenoTawi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Uainishaji wa kisayansiFasihiBendera ya KenyaKumamoto, KumamotoSodomaTanganyika (ziwa)DiniJakaya KikweteNamba za simu TanzaniaIbadaAlama ya uakifishajiDaudi (Biblia)James OrengoMkoa wa MaraMkoa wa MbeyaKamusi elezoUnyanyasaji wa kijinsiaLilithMafumbo (semi)KipaimaraNomino za kawaidaYoung Africans S.C.BurundiMkoa wa RuvumaAunt EzekielUgaidiMbuni (maana)TaarabOrodha ya Marais wa ZanzibarMiikka MwambaLebanoniUenezi wa KiswahiliJamhuri ya Watu wa ZanzibarKipindupinduUkoloniAsiaKilimoWiki FoundationVivumishi vya sifaNenoMenoTabiaMapafuViwakilishi vya kuoneshaMtume PetroVirusi vya CoronaKimara (Ubungo)Kitabu cha YoshuaUpinde wa mvuaKanisa KatolikiMnyamaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaOrodha ya Marais wa BurundiNgeliNywilaOrodha ya nchi kufuatana na wakaziTamthiliaMeta PlatformsNetiboliKanuni ya Imani ya Nisea-KonstantinopoliNabii EliyaTendo la ndoaStadi za lughaLugha ya isharaAntoni wa PaduaKiraiKipandausoJulius NyerereWachaggaAina za manenoFananiMshororoMaradhi ya zinaaTovutiBahasha🡆 More