Ulimi

Ulimi ni msuli ambao hupatikana ndani ya kinywa ambao husaidia umeng'enyaji wa chakula katika mfumo wa chakula wa wanyama.

Ulimi
Ulimi wa twiga.

Ulimi husaidia katika umezaji wa chakula katika mfumo wa mnyama. Pia ulimi husaidia katika ulainishaji wa chakula ili kiweze kulainika na kusagwa na meno na kisha kumezwa kwenda katika mifumo mingine ya chakula katika mwili wa mnyama au binadamu .

Ulimi husaidia katika matamshi na husaidia katika kutamka lugha kwa ufasaha.

Ulimi Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ulimi kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ChakulaKinywaMsuliUmeng'enyaji wa chakulaWanyama

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KubaDiraMweziChristopher MtikilaUmaskiniWilaya za TanzaniaHistoria ya ZanzibarKamusiWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiNahauNenoVihisishiMkoa wa KilimanjaroElimu ya watu wazimaPesaMbuga wa safariJiniRashidi KawawaSautiTulia AcksonRedioMofimuNguvaSinagogiFani (fasihi)IniUtataMaana ya maishaShetaniStadi za maishaBogaMatiniMtandao wa kompyutaMachweoAbrahamuHifadhi ya mazingiraKiarabuAmri KumiPamboHekalu la YerusalemuShinikizo la juu la damuShikamoo26 ApriliKuchaElimuSerikaliWilaya ya KinondoniUajemiKombe la Mataifa ya AfrikaNdege (mnyama)IfakaraSinzaNyegereDNAMamelodi Sundowns F.C.Historia ya Kanisa KatolikiMaajabu ya duniaHektariAkiliKinyonga (kundinyota)Mkoa wa Dar es SalaamNileMajeshi ya Ulinzi ya KenyaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarVipaji vya Roho MtakatifuJay MelodyOrodha ya Marais wa ZambiaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoAbedi Amani KarumeMwanzoZiwa ViktoriaYouTubeWallah bin WallahBustaniElla PowellVitenzi vishiriki vipungufu🡆 More