Matamshi (kutoka kitenzi kutamka) ni namna au jinsi watu wanasema hali halisi maneno ya lugha fulani, ambayo inaweza kuwa tofauti na namna ya kuandika neno.
Utafiti wa utamshi au utamkaji ni kazi ya somo la fonetiki, tawi mojawapo la isimu.
Matamshi yanaweza kutofautiana kati ya eneo na eneo, na hata kati ya mtu na mtu kulingana na alikoishi utotoni, makazi yake ya sasa, shida katika kutoa sauti, kabila, dini, tabaka la kijamii, elimu n.k.
Pengine tofauti hizo husababisha lahaja.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Matamshi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Matamshi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.