Nguva

Familia 2, jenasi 3 na spishi 5:

Nguva
Nguva wa kawaida
Nguva wa kawaida
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Nusungeli: Theria
Oda ya juu: Afrotheria
Oda: Sirenia
Illiger, 1811
Ngazi za chini

  • Dugongidae Gray, 1821
    • Dugong Lacépède, 1799
      • D. dugon Müller, 1776
    • Hydrodamalis Retzius, 1794
      • H. gigas (Zimmermann, 1780)
  • Trichechidae Gill, 1872
    • Trichechus Linnaeus, 1758
      • T. inunguis (Natterer, 1883)
      • T. manatus Linnaeus, 1758
      • T. senegalensis Link, 1795

Nguva ni wanyama wakubwa wa oda Sirenia wanaoishi baharini. Hata hivyo ni mamalia wanaozaa watoto walio hai na kuwalisha kwa maziwa. Nguva huwa na mikono ya mbele na mkia wenye umbo la pembetatu. Wanaishi kwenye pwani za Bahari ya Hindi, Bahari ya Karibi, Afrika ya Magharibi na mto wa Amazonas. Wanaweza kufikia urefu wa mita 2.5 hadi 4 na uzito wa kg 1,500.

Wanahatarishwa kutokana na uwindaji hivyo wanalindwa kila nchi.

Jina la Kisayansi Sirenia linatoka na neno la Kigiriki Σειρῆνες Seirēnes. Neno la "nguva" pia ina maana ya mtu mwenye mwili wa mwanamke na mkia wa samaki kama sireni wa mitholojia ya Kigiriki. Hula manyasi ya bahari na mimea ya maji mingine.

Spishi

Picha

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Bunge la TanzaniaJinsiaMzabibuViwakilishiWikipediaAlama ya uakifishajiAthari za muda mrefu za pombeMwenge wa UhuruKomaAli Hassan MwinyiRamaniUtataMtiAmfibiaJokate MwegeloUchapajiMawasilianoSemantikiMitume na Manabii katika UislamuUti wa mgongoSikukuuMkoa wa SingidaMbaraka MwinsheheNyumba ya MunguAslay Isihaka NassoroTafsidaKisaweMarie AntoinetteLahajaMapinduzi ya ZanzibarUandishi wa inshaLigi Kuu Uingereza (EPL)TarakilishiStadi za maishaBarabaraRaiaMapenzi ya jinsia mojaBahari ya HindiVielezi vya mahaliWordPressJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaMafumbo (semi)Kiambishi awaliDolar ya MarekaniKitenzi kikuuTanganyika (ziwa)Utoaji mimbaKamusi ya Kiswahili sanifuSteven KanumbaOrodha ya kampuni za TanzaniaMkoa wa PwaniMziziUhifadhi wa fasihi simuliziMariooMtaguso wa kwanza wa NiseaUaUtendi wa Fumo LiyongoMaji kujaa na kupwaMkoa wa ArushaInsha ya kisanaaKamusi elezoSakramentiUngujaDemokrasiaMkoa wa MorogoroMandhariUkristo nchi kwa nchiNairobiAfyaKunguruUmoja wa AfrikaKiambishi tamatiWayao (Tanzania)🡆 More