Vitenzi Vishiriki Vipungufu

Vitenzi vishirikishi vipungufu (alama yake ya kiisimu ni: t) ni vitenzi chenye mzizi wa NDI-.

Mifano
  • Ninyi ndinyi walimu wao
  • Wao ndio mwalimu wao
  • Sisi ndisi walimu wao
  • Huku ndiko alikoenda
  • Hapa ndipo anapoishi

Vitenzi hivi hujulisha msisitizo wa jambo. Vitenzi vishirikishi vipungufu huchukua viambishi vya nafsi na viambishi vya ngeli vya urejeshi.

Uchambuzi

Kuna mizizi miwili ya vitenzi vishirikishi vipungufu. Navyo ni mzizi wa nafsi na ngeli za urejeshi.

(i) Nafsi

Nafsi Umoja Wingi
I Mimi Sisi
II Wewe Ninyi/nyinyi
III Yeye Wao
    Mifano
  • Mimi ndimi mwalimu wao
  • Sisi ndisi walimu wao
  • Wewe ndiwe nwalimu wao
  • Ninyi ndinyi walimu wao
  • Yeye ndiye mwalimu wao
  • Wao ndio mwalimu wao

(ii)Vya ngeli vya urejeshi

    Mifano
  • Hizi ndizo ndizi zake
  • Hiki ndicho kitabu chake
  • Hili ndilo shamba lao
  • Humu ndimo alimoingia
  • Hapa ndipo anapoishi
  • Huku ndiko alikoenda

Tazama pia

Vitenzi Vishiriki Vipungufu  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vitenzi vishiriki vipungufu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Vitenzi Vishiriki Vipungufu UchambuziVitenzi Vishiriki Vipungufu Tazama piaVitenzi Vishiriki VipungufuIsimuKitenzi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MofolojiaKinyongaMnyamaMariooAbakuriaShairiWayao (Tanzania)SisimiziBustani ya EdeniKuku Mashuhuri TanzaniaMkoa wa SongweVichekeshoMchungaji mwemaKipandausoChatuSinagogiUhuruKunguniUbinafsiTambikoYoung Africans S.C.TafsiriRwandaMwaka wa KanisaMagonjwa ya kukuOsama bin LadenPandaMaajabu ya duniaKisimaBlandina ChangulaJumuiya ya MadolaTanganyika (ziwa)Orodha ya kampuni za TanzaniaUsultani wa ZanzibarMeliOrodha ya visiwa vya TanzaniaSaa za Afrika MasharikiOrodha ya Marais wa ZanzibarKinembe (anatomia)SilabiTanganyikaMshale (kundinyota)Bruce LeeWairaqwWamanyemaKassim MajaliwaDodoma (mji)WajitaZiwa SingidaMsitu wa AmazonKupatwa kwa MweziMvuaAzimio la ArushaChelsea F.C.Huduma ya kwanzaMsamiatiVielezi vya idadiIsimuUwanja wa Taifa (Tanzania)WaanglikanaIhefu F.C.Idara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Mashariki ya KatiBarcelona F.C.Ligi Kuu Uingereza (EPL)SanaaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuMaumivu ya kiunoBongo FlavaUongoziMzabibuBara la AntaktikiHektariHistoria ya Uislamu🡆 More