Mwili

Mwili ni kile kinachofanya binadamu aonekane na kuishi katika ulimwengu, kwa kufanana na wanyama ambao pia wana mwili.

Mwili
Mchoro wa Leonardo da Vinci (1492).
Mwili
Mchoro wa mwanzo wa karne ya 19.

Tofauti kubwa iliyopo kati ya viumbehai hao, yaani mtu na mnyama, upande wa uwezo wa akili na utendaji pengine inaelezwa na dini, falsafa n.k. kwa kudai uwepo wa roho pia katika umbile la binadamu.

Mwili wa binadamu unaundwa na kiwiliwili pamoja na viungo kwa mfano kichwa, shingo, kifua, mikono mgongo na miguu. Mwili una mifupa 206 ingawa binadamu anapozaliwa huwa na mifupa 270 ambayo baadaye huungana .

Umbo lake linategemea urithi lakini pia maisha ya mtu yalivyo. Urefu unategemea mambo mbalimbali, kama vile jinsia, kwa maana kwa kawaida wanaume ni warefu kuliko wanawake.

Kabla ya kufikia utu uzima, mwili unaundwa na seli bilioni 100.000.

Baada ya kufa, mwili wa binadamu unaitwa maiti, wakati ule wa mnyama unaitwa mzoga.

Elimu ya mwili huitwa anatomia.

Marejeo

Mwili  Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwili kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BinadamuUlimwenguWanyama

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

WanyamboWayao (Tanzania)Mkanda wa jeshiRoho MtakatifuZama za MaweNamba ya mnyamaMichoro ya KondoaTenziMalariaNg'ombeKongoshoJipuVladimir PutinNusuirabuMoses KulolaKitenzi kikuuDar es SalaamBahari ya HindiHisiaLahaja za KiswahiliSemiMkoa wa TaboraHoma ya mafuaMatendo ya MitumeAbedi Amani KarumeUenezi wa KiswahiliUharibifu wa mazingiraKanisa KatolikiIdhaa ya Kiswahili ya Radio TehranTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaNdiziMalawiJulius NyerereTungo kishaziKupatwa kwa JuaWordPressOrodha ya nchi za AfrikaWagogoKadi za mialikoMaishaOrodha ya mito nchini TanzaniaHistoria ya TanzaniaBunge la Afrika MasharikiTetekuwangaMaktabaWahangazaMtaalaUtendi wa Fumo LiyongoKajala MasanjaPapaMaumivu ya kiunoMjombaOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaBarack ObamaHuduma za Maktaba TanzaniaMkoa wa MorogoroMoyoJakaya KikweteUwanja wa Taifa (Tanzania)LatitudoMnururishoMkataba wa Helgoland-ZanzibarVita ya Maji MajiUgonjwa wa kuharaUti wa mgongoBorussia DortmundMbaraka MwinsheheMeridianiOrodha ya Magavana wa TanganyikaMadhehebu🡆 More