Vokali ni fonimu au sauti za lugha zinazotajwa kwa herufi za A, E, I, O na U.
Kwa jumla ni sauti tupu ambako hewa huondoka mdomoni bila kikwazo au sauti za pembeni.
Herufi zote nyingine ni konsonanti kama B, D, K, L, P, S, W au Z. Kwa sauti hizo si hewa tu inayoondoka mdomoni lakini mwendo wake ni pamoja na sauti za pembeni kwa kutumia shingo, ulimi au meno.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Vokali, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.