Ladha ni jumla ya hisi zinazopatikana kinywani wakati unapoonja kitu.
Kwa mfano, unaweza kusikia utamu, uchungu, ukali wa chakula au kinywaji fulani ukapendezwa au kutopendezwa nao.
Kiungo kinachohusika zaidi ni ulimi.
Uwezo wa kuonja ladha huhesabiwa kati ya milango ya fahamu.
Kwa kawaida mapishi yanalenga kuridhisha ladha iwezekanavyo. Jambo hilo ni muhimu hasa kwa wagonjwa wasio na hamu ya chakula. Hata hivyo, ni hatari kwa walafi kwa kuwa linawafanya wale kuliko mahitaji ya mwili na hivyo kuchangia uharibifu wa afya.
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ladha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Ladha, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.