Utendi Wa Fumo Liyongo

Utendi wa Fumo Liyongo ni utenzi ulioandikwa na Muhamad Kijumwa ukiongelea mgogoro uliokuwepo kati ya Fumo Liyongo na kaka yake Daudi Mringwari.

Utenzi huu uliandikwa mwaka 1913.

Katika utenzi huo, mtunzi anaanza kisa chake baada ya kuwa Fumo Liyongo ameshakua na tayari anajulikana kama shujaa na mtu mwenye nguvu nyingi na uwezo wa kutunga na kukariri mashairi.

Utenzi huo unaonyesha jinsi Liyongo alivyokuwa shujaa wa vita katika kisiwa cha Pate katika karne ya 17, 18. Kama shujaa alipita changamoto, kulikuwa na njama za kumuua na kuepukaaa. Kwa sababu alikuwa shujaa sultani wa Pate alimuonea wivu.

Tanbihi

Utendi Wa Fumo Liyongo  Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Utendi wa Fumo Liyongo kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1913Fumo LiyongoKakaMwakaUtenzi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Insha ya wasifuMabiboTashihisiViwakilishi vya idadiOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaIpagalaOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaMaliasiliMbwana SamattaTanzaniaInjili ya LukaKanisaRamaniOrodha ya milima ya TanzaniaWairaqwMikoa ya TanzaniaKongoshoMagonjwa ya machoAbrahamuSayariMwigizajiVita Kuu ya Pili ya DuniaVitenzi vishirikishi vikamilifuFacebookUgaidiChelsea F.C.Orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuVivumishi vya ambaUzazi wa mpangoKiambishi awaliHurafaEe Mungu Nguvu YetuMshororoYombo VitukaWakingaMapambano ya uhuru TanganyikaSeli za damuMkoa wa TaboraKigogo (Kinondoni)TambikoHuduma ya kwanzaOksijeniMagomeni (Dar es Salaam)Arsenal FCMkwawaTausiChatuNishati ya mwangaNyotaVidonda vya tumboNgonjeraBaraza la mawaziri TanzaniaMapinduzi ya ZanzibarAndalio la somoBinadamuIsraeli ya KaleBabeliMnyoo-matumbo MkubwaTreniApril JacksonNenoMungu ibariki AfrikaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaWazaramoMichezo ya watotoMaziwa ya mamaWabunge wa kuteuliwaGoba (Ubungo)Jakaya KikweteTamathali za semiMazungumzo🡆 More