Andalio La Somo

Andalio la somo (kwa Kiingereza: lesson plan) ni mpangilio au hatua zinazofuatwa na mwalimu wakati wa kufundisha somo fulani darasani.

Mwalimu anapaswa kuandaa andalio la somo kabla na hata wakati wa mchakato mzima wa kufundisha.

Andalio La Somo
Andalio la Somo

Umuhimu wa andalio la somo

i) Huonesha malengo ambayo mwalimu anatarajia kuyafikia katika kipindi.

ii) Humpa mwalimu mwongozo wa kufuata hatua kwa hatua wakati anafundisha darasani.

iii) Humuonesha mwalimu sehemu za somo za kuulizia maswali, kutumia zana au kuhusisha wanafunzi katika vipindi.

iv) Hutumika wakati wa mwalimu kukaguliwa na kuangalia yale aliyoyafundisha darasani na matarajio yako baada ya kufundisha.

Vipengele muhimu vya andalio la somo

i) Jina la somo

ii) Tarehe, darasa, muda wa kipindi na idadi ya wanafunzi.

iii) Mada kuu

iv) Mada ndogo

v) Malengo ya somo

vi) Vifaa vya kufundishia na kujifunzia

vii) Vitabu vya rejea

viii) Uwasilishaji wa somo hatua kwa hatua

ix) Kazi za mwalimu na za wanafunzi

x) Maoni kuhusu mafanikio au matatizi yaliyojitokeza wakati wa kipindi

xi) Tathmini

xii) Mazoezi ya wanafunzi

Andalio La Somo  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andalio la somo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

DarasaKiingerezaMwalimu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

YerusalemuNyaniSteven KanumbaMshororoKiambishiMajigamboMichael JacksonSayariShengRitifaaPundaShuleHisiaMkonoAfyaUhakiki wa fasihi simuliziIstanbulMapinduzi ya ZanzibarMohammed Gulam DewjiMwanamkeInsha ya kisanaaKiwakilishi nafsiMarekaniFigoMkoa wa KigomaKifua kikuuOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaDhahabuHakiNeemaHafidh AmeirUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2015UshairiInjili ya MathayoMagonjwa ya machoTabataFasihi simuliziUbunifuRejistaMatiniLakabuPamboNenoAli Hassan MwinyiMapambano ya uhuru TanganyikaBaruaKunguniMnyoo-matumbo MkubwaMuundo wa inshaWimboBabuAla ya muzikiWanyakyusaLugha za KibantuKitenziLugha ya taifaUkwapi na utaoMwarobainiHistoria ya KanisaDhamiraDola la RomaMwanzoMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaSensaWenguSikioPunyetoBenki ya DuniaItifakiMkutano wa Berlin wa 1885Usafi wa mazingiraJogooNikki wa Pili🡆 More