Viwakilishi Vya Idadi

Viwakilishi vya idadi/kiasi ni aina ya neno au maneno yanayojulisha idadi ya watu au vitu ambavyo havikutajwa majina.

Mifano
  • Mawili yamegongana, idadi kamili.
  • Vichache vimepatikana, idadi ya jumla.
  • Wanne wamekamatwa, idadi kamili.
  • Wengi hawakula ugali, idadi ya jumla.
  • Watano wamekimbia, idadi kamili.

Idadi hiyo inaweza kuwa ya jumla au idadi hali/kamili.

Tazama pia

Viwakilishi Vya Idadi  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Viwakilishi vya idadi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Neno

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mungu ibariki AfrikaJay MelodyHistoriaVitendawiliHoma ya matumboShetaniKiolwa cha anganiKomaMaudhuiWakingaOrodha ya milima ya TanzaniaNdoaKonyagiMapenzi ya jinsia mojaMfumo wa JuaHistoria ya ZanzibarShinikizo la juu la damuOrodha ya mito nchini TanzaniaMbaraka MwinsheheEe Mungu Nguvu YetuMafurikoJinsiaUlimwenguUtawala wa Kijiji - TanzaniaFalsafaUandishi wa inshaVivumishiMbagalaMwanamkeKisononoMaradhi ya zinaaMnyamaUKUTAUsawa (hisabati)HaitiPaul MakondaC++UshairiKilimoJumuiya ya MadolaWilayaVirusi vya CoronaMariooUhakiki wa fasihi simuliziNguruwe-kayaKutoa taka za mwiliIdi AminMahindiFigoMoscowVidonge vya majiraAla ya muzikiMeno ya plastikiNduniMbooManchester CityBendera ya TanzaniaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniBahashaHaki za wanyamaZiwa ViktoriaPapa (samaki)Mkoa wa TaboraVisakaleMuundo wa inshaRupiaVitenzi vishiriki vipungufuBiasharaMkoa wa SimiyuMvuaNomino za jumlaSimu za mikononiUandishiStadi za lughaRita wa Cascia🡆 More