Uandishi Wa Insha

Uandishi wa insha ni utunzi wa mfuatano wa tungo zenye mtiririko unaoelezea kuhusu mada fulani.

Pengine unaagizwa shuleni ili kumzoesha mwanafunzi kujieleza kwa maandishi.

Uandishi Wa Insha
Insha ya mwanasiasa Mjerumani Theodor Heuss alipokuwa shuleni, 1898.

Aina za insha

Kuna aina mbili za insha, nazo ni:

  • 1. Insha za kisanaa.
  • 2. Insha zisizo za kisanaa.

Muundo wa insha

Kimuundo insha imegawanyika katika sehemu kuu nne:

  • kichwa cha insha
  • utangulizi wa insha
  • kiini cha insha/lengo la insha
  • mwisho wa insha/hitimisho

Huandikwa mwanzoni kabisa mwa insha na pia kichwa cha insha huandikwa katikati kwa herufi kubwa na kupigiwa mstari. Mara nyingi kichwa cha insha huandikwa kwa maneno machache.

Utangulizi wa insha

Sehemu hii hufuata baada ya kichwa cha insha na pia hueleza kwa ufupi juu ya jambo linalojulikana.

Kiini cha insha/lengo

Hii ni sehemu kuu kabisa: sehemu hii hufuata baada ya utangulizi. Pia hii ndiyo sehemu ambayo mwandishi huelezea kwa undani zaidi kuhusu jambo analoliandika; kila jambo analolizungumzia katika sehemu hii lazima liwe katika aya. Kila hoja ya mada uliyopewa inatakiwa kukaa na kuelezewa kwenye aya yake yenyewe.

Mwisho wa insha/hitimisho

Ni sehemu ya mwisho ya insha: mwandishi hutumia msisitizo majumuisho ya ufupisho wa yote aliyoyaandika. Pia mwisho wa insha huanza katika aya.

Uandishi Wa Insha  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uandishi wa insha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Uandishi Wa Insha Aina za inshaUandishi Wa Insha Muundo wa inshaUandishi Wa InshaMwanafunziTungo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NdovuUbatizoMillard AyoTaswira katika fasihiInjiniOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaKitomeoMtotoMkoa wa PwaniUhindiKassim MajaliwaTendiLughaNyangumiOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoVitendawiliMoyoGoogleViwakilishi vya kuoneshaDhamiraDagaaUtafitiVitenzi vishiriki vipungufuMiundombinuMkoa wa TangaMajira ya baridiUkwapi na utaoMzabibuDodoma (mji)Mkoa wa KataviJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMfumo wa homoniOrodha ya visiwa vya TanzaniaMaghaniMkoa wa DodomaChelsea F.C.Shinikizo la juu la damuDiplomasiaSheriaHali ya hewaBiashara ya watumwaBaraza la mawaziri TanzaniaSintaksiKilatiniUtoaji mimbaKiwandaUingerezaNguzo tano za UislamuReli ya TanganyikaAfrika ya MasharikiNetiboliDioksidi kaboniaNyaniViwakilishi vya urejeshiAfrika KusiniUnyanyasaji wa kijinsiaUmmy Ally MwalimuShairiNomino za jumlaDayolojiaMartha MwaipajaUajemiAdolf HitlerKajala MasanjaFiston MayeleKaaSanduku la postaVita ya Maji MajiDolar ya MarekaniKishazi tegemeziNgekewa🡆 More