Martha Mwaipaja (pia anajulikana kwa jina Martha Esau Mwaipaja; amezaliwa 1980) ni msanii, mwanamuziki na mwandishi wa nyimbo za Injili kutoka nchini Tanzania ambaye anajulikana sana Afrika Mashariki.
Albamu ya Martha Mwaipaja ambayo inajulikana zaidi ni Ombi Langu Kwa Mungu
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Martha Mwaipaja kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Martha Mwaipaja, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.