Kiambishi Tamati

Kiambishi tamati (au viambishi tamati katika dhana ya wingi) ni aina za viambishi vinavyopatikana baada ya mzizi wa neno.

Mfano: neno "WANALIMIANA" linaundwa hivi:

- WA - NA - LIM (mzizi) - I - AN - A

Kwa hiyo, I, AN na A ni viambishi tamati.

Kiambishi Tamati Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiambishi tamati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

MziziNenoViambishi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SumakuAfrika Mashariki 1800-1845Kitenzi kishirikishiMabiboTamathali za semiMtandao wa kijamiiUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaIniPamboNathariMauaji ya kimbari ya RwandaMmeng'enyoRayvannyKiambishi tamatiBinadamuMbogaSimba (kundinyota)MahakamaAdolf HitlerMethaliOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaMfumo wa upumuajiUbongoKigogo (Kinondoni)Homa ya matumboMJMohamed HusseinShangaziUpinde wa mvuaVita ya uhuru wa MarekaniOrodha ya nchi za AfrikaUchawiKarafuuNenoBenki ya DuniaAndalio la somoKen WaliboraMkoa wa KigomaMbagalaNgiriMichezo ya watotoKongoshoJohn MagufuliNahauTanganyika (ziwa)NyongoMkoa wa MorogoroMuundo wa inshaManchester CityMbwana SamattaBibi Titi MohammedMichezoShambaBaruaP. FunkKalenda ya KiislamuMaliasiliMajiJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoTaswira katika fasihiLugha za KibantuKengeEverest (mlima)Somo la UchumiDodoma MakuluMmeaLuhaga Joelson MpinaDamuMoses KulolaMeli za mizigoKitenzi🡆 More