Michezo Ya Watoto

Michezo ya watoto ni michezo mbalimbali inayochezwa na watoto.

Mara nyingi michezo hiyo huigiza maisha halisi ya jamii. Watoto hucheza kutokana na tamaduni zao, kwa mfano kama utamaduni wa eneo hilo ni ngoma basi mara nyingi watoto watacheza na kupiga ngoma licha ya kuchanganya na michezo mingine.

Michezo Ya Watoto
Watoto wakicheza

Michezo ya watoto huwasaidia kukua kiakili na kimwili pia. Ni muhimu watoto waweze kushiriki michezo mbalimbali kwa madhumuni ya kuwajenga.

Michezo ya watoto ipo ya aina mbalimbali, kwa mfano Afrika Mashariki kuna:

na kadhalika.

Umuhimu

- Kuimarisha afya za watoto

- Kujenga uwezo wa kufikiri

- Kujenga umoja na mshikamano katika jamii

- Kustawisha utamaduni wa jamii husika.

Hasara

- Kuigana tabia mbaya miongoni mwao

- Kuambukizana maradhi

- Kuumizana

- Uharibifu wa mali za jamii.

Michezo Ya Watoto  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michezo ya watoto kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

JamiiMaishaMichezoNgoma (muziki)TamaduniWatoto

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Majira ya baridiWamisionari wa AfrikaMaajabu ya duniaUgonjwa wa kuharaMazungumzoMjasiriamaliKarafuuKontuaMaadili ya kiutuTovutiSoga (hadithi)Mkoa wa ArushaWaswahiliAdolf HitlerMariooKatekisimu ya Kanisa KatolikiJuma NatureNandyNimoniaHistoria ya KanisaChuraKiimboRohoBarua pepeMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaIshmaeliVielezi vya mahaliMwigizajiNomino za pekeeDemokrasiaAlama ya uakifishajiMsalaba wa YesuKiwakilishi nafsiChadViwakilishi vya sifaHelaKaswendeOrodha ya nchi kufuatana na wakaziSudan KusiniMji mkuuBinamuMpira wa kikapuRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniUandishi wa inshaHekimaLucky DubeKishazi tegemeziTaswira katika fasihiMkwawaUshairiMuungano wa Madola ya AfrikaMalariaUfahamuNdoo (kundinyota)UlayaMnyoo-matumbo MkubwaHistoria ya AfrikaDubaiKupatwa kwa JuaIntanetiShomari KapombeLilithJay MelodyMbaraka MwinsheheAkiolojiaUjasiriamaliPasaka ya KiyahudiMadhehebuKataMkoa wa Pwani🡆 More